Paschal Kibassa
Member
- Feb 28, 2022
- 73
- 98
Asante, namba moja ni muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa. Hata wanunuapo bidhaa pia walipe kodi kama wananchi wengine.1.Napendekeza mishahara ya wabunge ikatwe kodi
2,kima cha chini cha elimu ya mgombea ubunge iwe shahada ya kwanza.
3. spika wa bunge asitoke chama tawala,
4. makamu wa raisi atokee kwenye chama kilichishika nafasi ya pili kwa wingi wa kura
5.wananchi wawe na nguvu ya kufukuza wabunge wao wasiowajibika vzuri
6.umri wa kugombea uraisi uwe kuanzia miaka 30
7.Kila baada ya miezi 3 raisi aandae mdahalo utakaokuwa live kupitia social network yeyote inayowafikia zaidi watanzania wawe live kutoa kero zao na yeye azijibu na atoe suluhu yake
8. Kuwe na wagombea binafsi
9. Tuwe na serikali moja tu kama aiwezekan basi muungano huvunjwe
10.huduma ya afya ndio iwe bure na ni haki ya kila mtanzania
11. Kusiwe na mipaka ya ajira na umiliki wa ardhi kusiwe na utanganyika wala uzanzibar kuwe na utanzania tu sote tuwe na haki sawa ya kuajiriwa popote pale hiwe zanzibar au tanga au popote tanzania hiii na sote tuwe na haki sawa ya umiliki wa ardhi popote pale yaani
12 raisi na viongozi wowote wale washitakiwe wakifanya uhalifu hata kama wapo madarakani
posho za wabunge zikatwe kodiWaziri wa Katiba na Sheria ameshapuliza kipyenga cha mchakato wa Katiba Mpya hivyo ni vema tukaanza kuchangia mawazo.
Binafsi napendekeza Ruzuku ya vyama vya Siasa iondolewe ili vyama vijifunze Kujitegemea ili vikiingia madarakani visiwe Mchwa wa kutafuna Kodi za Wananchi.
Toa mapendekezo yako wahusika watayaona na kuyachukua kutoka hapa.
Karibu
Naongeza kidogo;Mapendekezo yangu ni:
1. Vyama vya siasa viwe vitatu tu.
2. Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu ihamishiwe TAKUKURU
3. Mikataba yote ya Serikali na haswa ya miradi mikubwa iwekwe wazi kabisa na wahusika walioandaa huo mkataba watangazwe wazi na wawe wameweka sahihi document ya kula kiapo kuwa wako tayari kushtakiwa kama mkataba utabainika kutokuwa n manufaa kwa Taifa
4. Sheria za nchi zipitiwe upya na kuboreshwa ili ziendane na wakati. Zipo sheria nyingi zimepitwa na wakati.
5. ..... nitaendelea baadaye..
Ni vyema ukashukuru kwa neema ya Akili uliyopewa na Mola wako ndugu yangu yohana, hivi kweli mbali na chama chako kupora, kufuja na kutapanya mali za umma kwa kigezo Cha "chama cha Mapinduzi" bado unaweza kuwa na hasadi kwa vyama vichanga ndani ya karne hii ya domo cratia? Viwanja lukuki vya mipira, maeneo ya wazi , majengo ya umma, fadha kutoka kwa mifuko ya umma bado unawaonea gere wanyonge? Ikowapi mantiki ya wazee wetu kupigania uhuru wa Taifa hili? Kwakweli hii Inakuwa kama laana umeni disappoint bwana JohnWaziri wa Katiba na Sheria ameshapuliza kipyenga cha mchakato wa Katiba Mpya hivyo ni vema tukaanza kuchangia mawazo.
Binafsi napendekeza Ruzuku ya vyama vya Siasa iondolewe ili vyama vijifunze Kujitegemea ili vikiingia madarakani visiwe Mchwa wa kutafuna Kodi za Wananchi.
Toa mapendekezo yako wahusika watayaona na kuyachukua kutoka hapa.
Karibu
Kambaya atuhumiwa kujenga ghorofa kwa Fedha za Ruzuku!Ni vyema ukashukuru kwa neema ya Akili uliyopewa na Mola wako ndugu yangu yohana, hivi kweli mbali na chama chako kupora, kufuja na kutapanya mali za umma kwa kigezo Cha "chama cha Mapinduzi" bado unaweza kuwa na hasadi kwa vyama vichanga ndani ya karne hii ya domo cratia? Viwanja lukuki vya mipira, maeneo ya wazi , majengo ya umma, fadha kutoka kwa mifuko ya umma bado unawaonea gere wanyonge? Ikowapi mantiki ya wazee wetu kupigania uhuru wa Taifa hili? Kwakweli hii Inakuwa kama laana umeni disappoint bwana John
1. Mawaziri wasiwe wanateuliwa na rais bali ziwe za kuomba, ili kila wizara iwe na waziri ambaye ana fani husika, kama ni wizara ya Kilimo iwe na waziri pamoja naibu wake ni wataalam wa kilimo hivyo hivyo wizara ya afya, uvuvi, Ulinzi na Usalama.Waziri wa Katiba na Sheria ameshapuliza kipyenga cha mchakato wa Katiba Mpya hivyo ni vema tukaanza kuchangia mawazo.
Binafsi napendekeza Ruzuku ya vyama vya Siasa iondolewe ili vyama vijifunze Kujitegemea ili vikiingia madarakani visiwe Mchwa wa kutafuna Kodi za Wananchi.
Toa mapendekezo yako wahusika watayaona na kuyachukua kutoka hapa.
Karibu
Hizi Tuhuma au madhaifu ni kwa binadamu wote, hivi huko nyuma kinana hakuwahi kukutwa na Tuhuma? Je kwanini iliundwa Tume ya kuhakiki Mali za CCMKambaya atuhumiwa kujenga ghorofa kwa Fedha za Ruzuku!
Niishie hapo
Idadi ya wizara isizidi 151. Mawaziri wasiwe wanateuliwa na rais bali ziwe za kuomba, ili kila wizara iwe na waziri ambaye ana fani husika, kama ni wizara ya Kilimo iwe na waziri pamoja naibu wake ni wataalam wa kilimo hivyo hivyo wizara ya afya, uvuvi, Ulinzi na Usalama.
2. Kiongozi aliye madarakani au amestaafu akiwa amefanya makosa pawe na uwezekano wa kuwajibishwa na kushitakiwa.
3. Ardhi isiwe mali ya serikali bali raia wawe na mamlaka na ardhi ikitokea mwekekezaji, huyo mwekekezaji ataelewana malipo na mwenye ardhi ambaye ni raia.
4. Bidhaa za zinazotoka Zanzibar kuja Tanzania bara au zinazotoka Tanzania bara kwenda Zanzibar zisitozwe kodi hata bidhaa za matumizi ya nyumbani kutoka Zanzibar ushuru uondolewe.
5. Wabunge wa bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mishahara yao ipungue na posho zao pia, haiwezekani Daktari aliyesomea fani yake miaka saba au wanajeshi wanaolinda nchi kwa jasho, damu na uhai wanazidiwa mishahara na wabunge wengi wao elimu ya la saba au form four.
Pia watozwe kodi kama raia wengine kwenye nchi hii, haiwezekani muuza nyanya atozwe mbunge asikatwe kodi.
Umoja wa Wanawake TanzaniaHata UWT ifutiwe nayo
Akina mama wa UWT msiwe wapiga mizingaUmoja wa Wanawake Tanzania
Nyie Bawacha ni katawi tu la UWT hamtoshi hata kwenye Bango!
Bawacha mmesalimu amri kwa UWTAkina mama wa UWT msiwe wapiga mizinga
Hakika ni muhimu sana hili nalo la wizara ziwe kidogo.Idadi ya wizara isizidi 15
UWT muanze kujitegemeaBawacha mmesalimu amri kwa UWT
Matumizi mabaya ya fedha za ummaHakika ni muhimu sana hili nalo la wizara ziwe kidogo.
Pia kuna ulazima gani wa kuwa na magari ya kifahari kwa watu wa serikali huku serikali hiyo hiyo ikiwa inatembeza kopo?
Kuna ulazima gani kuwa na misafara mikubwa kwa viongozi wetu?
Karibu MoroccoUWT muanze kujitegemea
Makao makuu ya UWT yapo wapi?Karibu Morocco
HQ ya Chadema ni Sawa na Ofisi ya UWT Kule Nanjilinji Lindi
Hakika mkuuMatumizi mabaya ya fedha za umma