Wenye akili ndogo yaani low IQ or poor reasoning ability kwao ni ajali ya kawaida…!! Na chanzo watasema ukungu, yaani bad weather with foggy day..!!
Wenye akili kubwa yaani highest IQ kwao si ajali ya kawaida, i am in this class,
Kuna sababu kubwa sana za kisayansi kuwa sio ajali ya kawaida, one is pilots failed even to declare emergency, yaani paap kimya kama wameuawa na Satellite laser weapon, pili, mabaki ya helicopter iliyoungua inasema mengi, kama imeunguzwa from outside source sio moto kwa mafuta ya helicopter, tatu, ELT ya helicopter haijaweza kutoa signal wapi ajali imetokea, yaani ELT kama imeunguzwa kabisa and failed to transmit emergency frequency to help search and rescue team to locate area of an accident, fourth, helicopter zingine mbili zimepita hapo hapo, wakati huo huo ktk msafara huo huo na hata kupata tatizo kidogo hakuna, ila helicopter ya Raisi tu iliteketea, Fifth, direct war between Israel and Iran ni sbb nyingine kubwa sana, Israel aliapa atalipiza kisasi kikali kwa Iran sbb ya makombora na drones za Iran kurushwa kwenda Israel ingawa 99.3% ziliangushwa kabla ya kufika Israel, all these huhitaji kujua kuwa hiyo haikuwa ajali ya kawaida.