Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

Wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine, kwahiyo Israel ni taifa la Mungu na mengine ni mataifa ya shetani?
Kila watu na mungu wao,israel ni taifa la mungu yehova,waarabu mungu wao ni allah,waindi huko mungu wao ni vishnu,budha na wengineo,nyinyi wengine baada ya kushindwa kumjua mungu wenu ni yupi ndo mkajichagulia wengine yehova wengine allah.
 
"Kila nafsi itaonja mauti. Na hakika mtalipwa kikamilifu ujira wenu Siku ya Kiyama. Na atakayeepushwa na Moto na kuingizwa Peponi, basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe ya udanganyifu."

Aya hii inasisitiza ukweli kwamba kifo ni sehemu isiyoepukika ya maisha na kwamba malipo ya kweli ya matendo yetu yatapatikana Siku ya Kiyama. Inahimiza pia umuhimu wa kutafuta mafanikio ya kweli ambayo ni kuokolewa na Moto na kuingizwa Peponi.
Pole sana ila muache ubishi. Netanyahu hajaribiwi
 
Eneo la tukio linaonyesha kabisa ni question of weather(Ukungu umetanda sehemu kubwa) and now unakimbilia kusema Israel.Kuwa
Kama weather ilikuwa mbaya ilikuwaje wahusika wakaruhusu safari ifanyike?

Najua wavaao kobazi hawapo tayari kukiri kuwa wamepigwa za uso na yule adui yao mkubwa.
 
Iran has focused its research and production capacity on military drones for Russia but forgot about security of his own president 🥱
 
Kama weather ilikuwa mbaya ilikuwaje wahusika wakaruhusu safari ifanyike?

Najua wavaao kobazi hawapo tayari kukiri kuwa wamepigwa za uso na yule adui yao mkubwa.
Too late man nimejibu hili swali muda sasa umepita.

Unachosema kinaweza kuwa sawa lakini huna hoja za kutetea ndio maana kila kitu inabaki watu kueleza hisia tu
 
Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza kisasi.

Je, ni kweli majasusi wa Israel wameweza kuingia kwenye mifumo ya mawasiliano ya Iran? Je, kama Israel imefanikiwa kutekeleza hujuma hii vita itaendelea?

Ipi kesho ya Iran kwenye mapambano haya ya uchumi, dini na siasa?

Mpaka Muda Huu Matumaini Yanazidi Kufifia Kuwapata Wakiwa Hai Pia Ukizingitia Hali Mbaya Ya Hewa Na Kuomba Msaada Kwa Mabeberu Kuona Ilipodondokea
So the Islamic Republic of Iran trusted the United States of America that much to have packed their officials, including their now late president, in an old helicopter made in the USA. If this was an attack, Iran made it easier for whoever did this to blame it on an old aircraft.
 
Unachosema kinaweza kuwa sawa lakini huna hoja za kutetea ndio maana kila kitu inabaki watu kueleza hisia tu
Hata wewe unaelezea kwa hisia zako tu huna cha kubadilisha, chopa imekutwa imeanguka huko milimani na Ebrahim akiwa mfu na waziri wake wa mambo ya nje.

Kilichobaki sasa ni maombolezo tu ya siku 5.
 
Kobaz effect.
Rais kapanda helicopta. Helcopta imeanguka. Helcopta ilioambatana nae imefika salama. Hali mbaya ya hewa wanausalama hawakuona hali ya hewa ni mbaya. ? Ok ilikua alipotoka nje ya taifa lake
Kama makamnda wakuu wanauwezo wa kuuawa ndani ya tehran kwa nn asiwezwe raisi.
Kisasi cha israel hiko amna haja ya kuficha.
Hatari sana.
 
Hata wewe unaelezea kwa hisia zako tu huna cha kubadilisha, chopa imekutwa imeanguka huko milimani na Ebrahim akiwa mfu na waziri wake wa mambo ya nje.

Kilichobaki sasa ni maombolezo tu ya siku 5.
Hakuna hisia nimeeleza always nakueleza ambacho tayari kiko reported shida ni nyie mnao tunga story.Wewe hizo habari za Israel kuhusika kakwambia nani?

Kwamba kusema ni bad weather ni hisia.Nenda Aljazeera.com utapata taarifa kibao kuhusu hii habari
 
Hata wewe unaelezea kwa hisia zako tu huna cha kubadilisha, chopa imekutwa imeanguka huko milimani na Ebrahim akiwa mfu na waziri wake wa mambo ya nje.

Kilichobaki sasa ni maombolezo tu ya siku 5.
Chopa imelipuka na kuungua hukohuko hewani,watu wote 9 waliokuwamo wameungua vibaya na moto hata miili Yao kutoweza kutambulika kiiurahisi,yaani kifo hakikuwa kizuri hata kidogo.
 
Sema wa-iran nao wamejivua nguo unawezaje kuunda silaha za kivita tena za ki-nuclear halafu ukashindwa kutengeneza helicopter? Mbaya zaid umenunua helicopter kwa adui yako no 1 eti ndo za kubebea viongozi wako 😂😂 tena wa ngazi za juu kabisa
 
Kwamba Israel ndiye kaweka ukungu eneo la tukio.Wabongo mnakuwa wepesi sana kuja na assumptions ambazo hazipo na kutoa hitimisho ambalo halina mtiririko mzuri kwenye reasoning

Eneo la tukio linaonyesha kabisa ni question of weather(Ukungu umetanda sehemu kubwa) and now unakimbilia kusema Israel.Kuwa na subira kidogo ukweli utajulikana
Ndege moja tu tena ya Rais ndo iathirike na ukungu zingine mbili za raia zipete.Shughulisha ubongo!
 
Kazi kutuma drones za Shahed--136 na 131 kwa Mrusi ziue Waukraine wasio na hatia nchini kwao, ila kutuma drones za kutafuta Rais wao wameomba msaada Turkey.!
Akili Mali mbona Turkey alisaidiwa na Iran pia kitu gani kipya hapo.

Nchi kusaidiana ni kitu cha kawaida mbona US alilalamika Mrusi kamsaidia Trump kushinda uchaguzi hahaha na huyo ndio basha wa Israel alilia eti Mrusi ndio alisababisha Trump kushinda uchaguzi.
 
Kuna baadhi ya matukio ya vifo vya viongozi yanatokea natural, mpaka pale uchunguzi utakapofanyika na kubaini sababu ya kifo. Huku kusema mara Mossad mara CIA, ni mazoea tuliojiwekea kutokana na matukio mbali mbali yaliyowahi kufanywa na mashirika mbalimbali ya kijasusi. Tusubiri majibu ya uchunguzi yatasemaje then tuchambue.
Unakumbuka kifo cha Dr Gallang wa South Sudan?
 
Back
Top Bottom