Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

Anayetoa command ya mashambulizi ni kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah kwahiyo kama Israel ana uwezo huo wa kuuwa kiongozi wa juu wa Iran basi angemmaliza Ayatollah ambaye ndiye tishio la mataifa yote ya kishoga.
Correction, ayatollah sio tishio kwa mataifa yoyote. Angekua threat wange deal nae one way or another. Even kwenye risk assesment kuna threat analysis, levels . Je ayatolla anapose hiyo risk ?
 
Kobaz effect.
Rais kapanda helicopta. Helcopta imeanguka. Helcopta ilioambatana nae imefika salama. Hali mbaya ya hewa wanausalama hawakuona hali ya hewa ni mbaya. ? Ok ilikua alipotoka nje ya taifa lake
Kama makamnda wakuu wanauwezo wa kuuawa ndani ya tehran kwa nn asiwezwe raisi.
Kisasi cha israel hiko amna haja ya kuficha.
Ooh kumbe basi sawa.
 
Iko hivi Israil bila kujali dhambi za Raia wake ,Iko Hadi ya Mungu kwa Abraham aka Ibrahim ya kwamba ni Taifa teule na Israil ndipo Mungu huonyesha Dunia uweza wake kupitia hao ,kifupi Israil ni exhibition room ya Mungu
Isreal ambayo ni agano la Mungu sio hii ya Benjamini Netanyahu(Hawa ni wahuni tu wanaotumia neno Israel kufanya uswahili wao)

Israel yenye agano na Mungu ni watoto wa Yakobo(12) unajua wapo sehemu gani mpaka sasa?.Hii Israel ya sasa ni political than religious(Hii imekuwa formed 1947 wakati ahadi za Mungu na Israel inayotajwa kwenye religious books ni ya miaka mingi kabla ya Jesus)
 
Helicopter zingine mbili kwenye msafara huo hazikuona ukungu sikipokuwa iliyombeba yeye?
Man sikua eneo la tukio sasa unataka nifanye nini hapa nieleze hisia zangu kama wengine au vipi.

Hoja yangu ya msingi ni kwamba wanaosema ni ujasusi au ni Israel kahusika waeleze hapa vizuri.

Wewe hapa una hoja nyepesi ambayo haiwezi kutoa hitimisho lolote.Yes,helicopter mbili ziliweza kupita kwenye hiyo hali salama(who knows) huenda ziliweza kuhimili(sio kama ndio ukweli,hapana).Report inayosemwa mpaka sasa ni bad weather.Sasa hizo nyingine wenzetu mnazitoa wapi? ndilo swali langu
 
Kwamba Israel ndiye kaweka ukungu eneo la tukio.Wabongo mnakuwa wepesi sana kuja na assumptions ambazo hazipo na kutoa hitimisho ambalo halina mtiririko mzuri kwenye reasoning

Eneo la tukio linaonyesha kabisa ni question of weather(Ukungu umetanda sehemu kubwa) and now unakimbilia kusema Israel.Kuwa na subira kidogo ukweli utajulikana
Wewe ndio mjinga kwa nini? Usiwaze kwamba kwa nini? Wasingepita sehemu nyingine isiyokuwa na ukungu, kulikuwa na haja gani ya kukatisha sehemu yenye hali ya hewa ya hatari
 
Itakuwa ni ajali ya kawaida , japokuwa kuna maswali ilikuwaje wakaande helicopter kwenda nje ya nchi? Watu wa hali ya hewa hawakuwepo ili kuzuia wasisafiri kwenye ukungu?
Nje ya nchi ya wapi ilhali ni nchini mwao
 
Wewe ndio mjinga kwa nini? Usiwaze kwamba kwa nini? Wasingepita sehemu nyingine isiyokuwa na ukungu, kulikuwa na haja gani ya kukatisha sehemu yenye hali ya hewa ya hatari
Unaona ambavyo akili yako inashida.Yani mimi napanga safari za rais wa Iran sio na wapi apite sio?

Hii ungeuliza rubani wake ningekuona una akili nyingi.Then,hizo kwanini mbona nyingi.Nilikufundisha hivi shule kupangilia hoja zako sio?sawa asante kwa kunifanya mwalimu wako nipate aibu
 
Wewe ndio mjinga kwa nini? Usiwaze kwamba kwa nini? Wasingepita sehemu nyingine isiyokuwa na ukungu, kulikuwa na haja gani ya kukatisha sehemu yenye hali ya hewa ya hatari
Safari ya rais sio kama safari za baba yako akiwa anaendesha baiskeli kwamba akijisikia anashuka kwenye mpando.Some formality has to be in place.Acha utoto siku nyingine
 
There's no natural death in Africa.

Yani hata mtoto mdogo akizaliwa kisha akafa utasikia hapa sio bure kuna mkono wa mtu...
 
Kuna Matukio Unapigwa Alfu unajiuliza Sanaa Imekuwaje Hali hii Hapo Kwenye maswali MOSSAD NDO WANAPOPATAKA Ili Msipate Jibu Haraka Haraka Inakuwaje Hericopta ziwe 3 Alafu Hitilafu ipate Moja iliyombeba Rais ??????????????????????? ndio Maana ya Intelejensia ya Hali ya Juuuuuuuuu
Hii scenario ni kama ile ajali ya Sokoine magari yapo kwenye msafara halafu gari lake tu ndio likapata ajali na kumuua...
 
MKIAMBIWA MUNGU WA ISRAEL NI MUNGU WA KWELI NA MUWEZA WA YOTE MNAKUWA WABISHI SASA KAAMUA MWENYEWE KUFANYA HALI YA HEWA IWE MBAYA HUYO RAIS AFE KWA KULIPIZA KISASI KWASABABU ALIAMURU MAKOMBORA NA DRONES KUINGIA ANGA TAKATIFU NA TEULE LA ISRAEL.

Covax
Walokole kama wewe mna matope vichwani mwenu.
 
Back
Top Bottom