Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

Taarifa za ndani za hivi punde!
Wanasema "Deal done"!
(Israel na Azerbajain)
 
Attachments

  • FB_IMG_1716195682350.jpg
    FB_IMG_1716195682350.jpg
    26.1 KB · Views: 4
Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza kisasi.

Je, ni kweli majasusi wa Israel wameweza kuingia kwenye mifumo ya mawasiliano ya Iran? Je, kama Israel imefanikiwa kutekeleza hujuma hii vita itaendelea?

Ipi kesho ya Iran kwenye mapambano haya ya uchumi, dini na siasa?
Sisi tulio Wana wa ahadi wa Ibrahimu tuko na Israeli

Huu ndo wakati tunaenda kutwaa ule msikiti maarufu wa al aksa

Alah akbaru!
 
Kwanini usisubiri tamko la Iran badala ya kutuuliza sisi kama ni raia wa Iran

Hata kama ni ushabiki au ramli mimi bado naamini habari za kuwa ni ajali mpaka wathibitishe vingine
Hali ya hewa ndio sababu ila kwa kuwa kuna figisu baina yao na Israel basi ramli zitakuwa nyingi

Kama mkuu wa majeshi hapo jirani walisema nini humu eti?
 
Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza kisasi.

Je, ni kweli majasusi wa Israel wameweza kuingia kwenye mifumo ya mawasiliano ya Iran? Je, kama Israel imefanikiwa kutekeleza hujuma hii vita itaendelea?

Ipi kesho ya Iran kwenye mapambano haya ya uchumi, dini na siasa?
Ni 50/50

Kwa maana kwamba wataonufaika na kifo cha Raisi na waziri wake wa mambo ya nje ni wahasimu wao yaani nchi za magharibi/ Marekani na Israeli.

Lakini moja ya facts ni kwamba helikopter walokuwa wakitumia imetengenezwa Marekani na ni ya kizamani sana.

Moja ya vikwazo ambavyo Iran iliwekewa na Marekani ni kushindwa kununua au kuagiza vipuri kutoka Marekani.

Hivyo hiyo chopa ilikuwa tayari ni mali ya “scrap yard.”

Sasa mengine ni matokeo ya uchakavu wa hizo chopas na wale opportunists.

Vingjnevyo ni kwamba katika ulimwengu wa leo ni pale tu unapokuwa “smart” ndipo tu waweza kufanya mambo makubwa duniani ikiwemo kutafuta ugomvi na mataifa makubwa.

Waweza kabisa kuangalia jinsi Mchina Mrusi na Mhindi wanavyoweza kucheza na vita ya kijiografia.

Japo sijaiongelea Russia maana wao no moja ya Superpowers wa Dunia na juzi tumeona raisi Putin akitoka Russia na kwenda China kwa ndege yake.

Pia tuliona Xî Jingping akitembelea bara la Ulaya kwa ndege yake na hakuna alieleta fyoko.

Hivyo Dunia ya sasa yataka watu wanofahamu namna ya kucheza na siasa za kijiografia na si kujitutumua ilhali hata ndege maalum ya raisi haipo.
 
Historia imesoma kwa wakiristo? utadhani wakiristo wataandika historia nzuri?
Kwanini awe muuaji kiongozi wa taifa la kidini?mkiambiwa mnahalalisha uhalifu mradi tu uwe kiimani mnabisha,ndio maana points zenu ziko very shallow kama vyakula,mavazi,chooni uingieje and the alike.
 
Kwamba Israel ndiye kaweka ukungu eneo la tukio.Wabongo mnakuwa wepesi sana kuja na assumptions ambazo hazipo na kutoa hitimisho ambalo halina mtiririko mzuri kwenye reasoning

Eneo la tukio linaonyesha kabisa ni question of weather(Ukungu umetanda sehemu kubwa) and now unakimbilia kusema Israel.Kuwa na subira kidogo ukweli utajulikana
JE,ukungu unaweza kutengenezwa au laa , aliyekuwa anajibu tukosalama wakati wanateketea alikuwa nan
 
Nimesoma historia yake, kwa kweli inatisha. Sikujua kama alikuwa mtu katili wa kiwango cha juu kiasi hicho dhidi ya wananchi wake.

Kuna wakati Mungu hutenda kwaajili ya kuwaokoa watu ambao kama kiongozi angeendelea kuishi, wangeteketea wengi. Huyu bwana alikuwa ni mkono wa chuma ambao haukuthamini uhai wa Wairan wengine, hasa wenye kuthubutu kumkosoa. Maandamano ya akina mama yalishuhudia mauaji ya watu zaidi ya 500. Lakini pia kabla yake alitoa idhini ya mauaji ya wafungwa zaidi ya 5,000 na majaji 6!! Leo naye amewafuata aliowatanguliza.

Uwe kiongozi, uwe tajiri, uwe msomi au maarufu kiasi gani, juu yako kuna mamlaka iliyo juu zaidi kuliko kiumbe chochote. Yawezekana kuna watu wenye ujuzi na uwezo mkubwa, walimtafuta, lakini wote walishindwa. Ila kwenye muda ulio sahihi, Mungu ametimiza mapenzi yake kwa namna aliyoitaka.
Kumbe mkono wa Mungu umetuokoa wengi kwa kuwachukua watawala wenye roho mbaya kama shetani.
 
MKIAMBIWA MUNGU WA ISRAEL NI MUNGU WA KWELI NA MUWEZA WA YOTE MNAKUWA WABISHI SASA KAAMUA MWENYEWE KUFANYA HALI YA HEWA IWE MBAYA HUYO RAIS AFE KWA KULIPIZA KISASI KWASABABU ALIAMURU MAKOMBORA NA DRONES KUINGIA ANGA TAKATIFU NA TEULE LA ISRAEL.

Covax
Wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine, kwahiyo Israel ni taifa la Mungu na mengine ni mataifa ya shetani?
 
Waislamu wajiulize tena na tena, hila zao mbaya dhidi ya wakiristo na wayahudi
Screenshot_20240520-125442_Chrome.jpg
 
JE,ukungu unaweza kutengenezwa au laa , aliyekuwa anajibu tukosalama wakati wanateketea alikuwa nan
Man kuna story nyingi zinatengenezwa humu na sehemu kibao ambazo ni ngumu mtu kuja na conclusion kwamba ni ujasusi au ni Israel au ni ajali tu kama zingine

Hiko hivi katika Logic(reasoning),hili huweze kuchora hitimisho lako ambalo litasimama kama ukweli lazima tuone premises kibao ambazo ndio zitafanya hitimisho lako lisiwe na doubt na critism pia

Sasa mtu anakwambia ni ujasusi and blah! blah!.Ukiuliza nipe mpangilio mzuri wa mawazo yako mpaka umefika hapo hakuna.Sasa mnataka nani aje kuzoa uchafu wenu mnao dump hapa.

Hii habari baada ya investigation utapatiwa majibu ambayo yatasimama kama ukweli(and no one will question or doubt it) kwa sababu utapewa mpangilio wa matukio vizuri(kama Isreal yuko involved utaelezwa vizuri sio hizi hisia)

Taarifa iliyopo ni kuwa kiongozi(rais) wa Iran na wenzake wamefariki(hii ni fact and no one can question or debate on it) kwa maana wamefika eneo la tukio na kupata ukweli.The question of weather(ukungu hapa naongelea) inabaki kuwa premise ambayo pekee haiwezi ku-draw conclusion juu ya vifo vya hawa viongozi

Kuwa na subira,the final report will be out soon after investigation
 
ukiwa hapo Iran unaonaje hali watu wamepokeaje kifo cha huyo Chinja chinja
 
ukiwa hapo Iran unaonaje hali watu wamepokeaje kifo cha huyo Chinja chinja
Man siko Iran,mwenyewe nasoma habari kwenye media tu(Aljazeera is the source of information am relying on)

Kuhusu kupokea kifo kila mtu na mtazamo wake(kuna wanao furahi,wenye huzuni,ambao ni neutral kama mimi maana huyo kiongozi mwenyewe sijawahi kutana naye so why niwe na chuki juu yake)

Wanaofurahi labda waliumizwa na utawala wake au ni mkumbo tu.

Lakini ukweli utabaki kwamba we aren't divine creatures.so,no one is perfect.R.I.P to everyone
 
Maswali ni mengi kuliko majibu....kifupi haya ni mauaji sio ajali...
Egypt yeye akiona mtu kamchokoza Israel, anafunga mpaka wake analala ndani
 
Man siko Iran,mwenyewe nasoma habari kwenye media tu(Aljazeera is the source of information am relying on)

Kuhusu kupokea kifo kila mtu na mtazamo wake(kuna wanao furahi,wenye huzuni,ambao ni neutral kama mimi maana huyo kiongozi mwenyewe sijawahi kutana naye so why niwe na chuki juu yake)

Wanaofurahi labda waliumizwa na utawala wake au ni mkumbo tu.

Lakini ukweli utabaki kwamba we aren't divine creatures.so,no one is perfect.R.I.P to everyone
Wasalimie msikiti wa hidaya hapo magomeni
 
Mtu kama Rais wa Iran tunaaminishwa ni taifa lenye nguvu harafu linatumia helikopta ya hasimu USA kumbeba rais helikopta yenyewe ya miaka ya 78 kabla ya kuwa mahasimu.
 
Wasalimie msikiti wa hidaya hapo magomeni
Man am christian.Lakini hainifanyi niwe na negative attitude na Arabs(ambao most of them believe in Islam)

Kuwa member wa christianity sio kwamba sitambui Islam kama religion.Islam ina miongozo iliyotoka kwa mwenyezi Mungu(Allah in Islam) ambayo kapewa mwanadamu(bila kujali ni christian au asiyeamini)

Leo hii Afrika utasikia story za sijui dini za wazungu and waarabu(were those temples in Ethiopia built by Arabs or whites).Acheni utoto kwa hali kama hizi Africa will remain dark continent.

Yani walimu wenu wa historia na D zao flati wamekufundisha ujinga mpaka leo hii mtu anakwambia dini ni mipango ya wazungu na waarabu.My question is: Is killing,rape,gossiping around ethical stuff in your society(if not,did whites and arabs bring those stuff in your community?,the answer is big no) sasa kwanini akili zenu ni nzito hivi
 
Back
Top Bottom