Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Kuna report wanausalama wa Iran wamevamia ubalozi wa India unafikiri kwann?Kwamba Israel ndiye kaweka ukungu eneo la tukio.Wabongo mnakuwa wepesi sana kuja na assumptions ambazo hazipo na kutoa hitimisho ambalo halina mtiririko mzuri kwenye reasoning
Eneo la tukio linaonyesha kabisa ni question of weather(Ukungu umetanda sehemu kubwa) and now unakimbilia kusema Israel.Kuwa na subira kidogo ukweli utajulikana