Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Japo ni ajali,ila kwa kiongozi mkubwa wa nchi kutumia ndege iliyotengenezwa miaka zaidi ya 40 huko,pia nalo linafikirisha kwa Taifa kama Iran.......tena ndege ya mtu wanayemuona adui yao......na spea akawanyima
Inafikirisha kiasi fulani
- Ndege zilikuwa 3, imekuaje ndege ya raisi pekee ndiyo ipate ajali?
- Imekuaje raisi kubebwa kwenye chuma chakavu tena kilichotengenezwa 1978 na USA?
Dini ya Uislam ni shetani mwenyewe ndiyo Alimtokea mohamed na kumpa Quran (Quran 22:53) pia ktk Hadith hapo chini, inaonyesha moja kwa moja shetani ni Allah. Ktk Quran 19:83 yeye ndiye hutuma mashetani watusumbue. Je mtu mwenye mamlaka wa Kutyła mashetani ni nani kama siyo Shetani Mkubwa wao? Biblia imam tambura hivyo kuwa yeye neuter kiongozi waoVipi uyahudi ni dini ya nani? Kwa wakristo Dini inayopinga kuwa Yesu sio Mungu sio ya shetani kweli?
Biblia gani? Nachojua Biblia inatambua wafuasi wote wa Yesu kama taifa teule?
Kwamba Budha sio ya shetani ila uislam pekee ni wa shetani? Nimeshajua una chuki tu za dini.
Biblia gani inasema haya? Unaweza nipa sura au mstari unaodai haya?
Watashangalia tu, Kwa kuwa Kila mwenye chuki na muuaji wa mwanadamu aliyezaliwa na akalelewa na Mungu hakika huyo mtu atakufa tena kabla ya wakati wake. Auaye atauawa- kabla ya wakati wake, haijalishi amemuua Nani!Hili tukio lingekuwa kinyume chake wale wa allah akbar wangekesha wakishangalia.
Yule mungu wa mashoga co????MKIAMBIWA MUNGU WA ISRAEL NI MUNGU WA KWELI NA MUWEZA WA YOTE MNAKUWA WABISHI SASA KAAMUA MWENYEWE KUFANYA HALI YA HEWA IWE MBAYA HUYO RAIS AFE KWA KULIPIZA KISASI KWASABABU ALIAMURU MAKOMBORA NA DRONES KUINGIA ANGA TAKATIFU NA TEULE LA ISRAEL.
Covax
Yaan huna tofauti na zezetaNimesoma historia yake, kwa kweli inatisha. Sikujua kama alikuwa mtu katili wa kiwango cha juu kiasi hicho dhidi ya wananchi wake.
Kuna wakati Mungu hutenda kwaajili ya kuwaokoa watu ambao kama kiongozi angeendelea kuishi, wangeteketea wengi. Huyu bwana alikuwa ni mkono wa chuma ambao haukuthamini uhai wa Wairan wengine, hasa wenye kuthubutu kumkosoa. Maandamano ya akina mama yalishuhudia mauaji ya watu zaidi ya 500. Lakini pia kabla yake alitoa idhini ya mauaji ya wafungwa zaidi ya 5,000 na majaji 6!! Leo naye amewafuata aliowatanguliza.
Uwe kiongozi, uwe tajiri, uwe msomi au maarufu kiasi gani, juu yako kuna mamlaka iliyo juu zaidi kuliko kiumbe chochote. Yawezekana kuna watu wenye ujuzi na uwezo mkubwa, walimtafuta, lakini wote walishindwa. Ila kwenye muda ulio sahihi, Mungu ametimiza mapenzi yake kwa namna aliyoitaka.
Kwema mkuu. Wacha wee mashallah Allah AKBARYule mungu wa mashoga co????
Pale Syria Wairan wapo kwa ajili ya kuidhoofisha Israel.. ndio maana Idf inawatandika kila mara
Ndege moja tu tena ya Rais ndo iathirike na ukungu zingine mbili za raia zipete.Shughulisha ubong
Hata corona coron kuna walioathirika na hawakuathiriki kwa nini ww usiishirikishe ubongo kwanza. Hata tb kuna wanaopa na kuna wakuwa na kinga ni kawaida sanaNdege moja tu tena ya Rais ndo iathirike na ukungu zingine mbili za raia zipete.Shughulisha ubongo!
Maswalai ya kijinga sana hivi coron alivooingia iliua kila mtu
- Ndege zilikuwa 3, imekuaje ndege ya raisi pekee ndiyo ipate ajali?
- Imekuaje raisi kubebwa kwenye chuma chakavu tena kilichotengenezwa 1978 na USA?
Jifunze kuandika vizuri maana ulichoandika hata ukimpa mtoto wa darasa la pili asome, hajui umeandika nini. 😁😁😁😁😁Maswalai ya kijinga sana hivi coron
Maswalai ya kijinga sana hivi coron alivooingia iliua kila mtu iliua kila mtu
Chezea Mossad wewee
Ndio mkuuKwahiyo ukungu umepelekwa na taifa teule?
Ndio mkuu
Wenye akili ndogo yaani low IQ or poor reasoning ability kwao ni ajali ya kawaida…!! Na chanzo watasema ukungu, yaani bad weather with foggy day..!!
Wenye akili kubwa yaani highest IQ kwao si ajali ya kawaida, i am in this class,
Kuna sababu kubwa sana za kisayansi kuwa sio ajali ya kawaida, one is pilots failed even to declare emergency, yaani paap kimya kama wameuawa na Satellite laser weapon, pili, mabaki ya helicopter iliyoungua inasema mengi, kama imeunguzwa from outside source sio moto kwa mafuta ya helicopter, tatu, ELT ya helicopter haijaweza kutoa signal wapi ajali imetokea, yaani ELT kama imeunguzwa kabisa and failed to transmit emergency frequency to help search and rescue team to locate area of an accident, fourth, helicopter zingine mbili zimepita hapo hapo, wakati huo huo ktk msafara huo huo na hata kupata tatizo kidogo hakuna, ila helicopter ya Raisi tu iliteketea, Fifth, direct war between Israel and Iran ni sbb nyingine kubwa sana, Israel aliapa atalipiza kisasi kikali kwa Iran sbb ya makombora na drones za Iran kurushwa kwenda Israel ingawa 99.3% ziliangushwa kabla ya kufika Israel, all these huhitaji kujua kuwa hiyo haikuwa ajali ya kawaida.
Yesu wenu alitolewa rinder na kuuwawa ha huyo unaeimwita "mungu wa israhell"MKIAMBIWA MUNGU WA ISRAEL NI MUNGU WA KWELI NA MUWEZA WA YOTE MNAKUWA WABISHI SASA KAAMUA MWENYEWE KUFANYA HALI YA HEWA IWE MBAYA HUYO RAIS AFE KWA KULIPIZA KISASI KWASABABU ALIAMURU MAKOMBORA NA DRONES KUINGIA ANGA TAKATIFU NA TEULE LA ISRAEL.
Covax