Je, ushawahi kufanya kazi za usiku?

Nimeacha, mwaka mpya na mambo mapya, na mimi mupya kabisaaa.

Na wewe acha kutembea na mishangazi lika la bibi zako
Sasa toka lini mishangazi ikawa jau katika afya yangu mkuu ...

We ndo jau hivo unajua kwanini juzi ulikua unalalamika wamekuibia ....?
 
Mkuu mimi nafanya day siku saba7 night siku 7 na huwa situmii enengy yoyote. awamu hii nimepiga 5weeks night zote wala hakuna shida
 
Life is about a balance

Ule muda wa kuhangaika na oldest women unaweza kuutumia kulala na usiku ukafanya hiyo Kazi .
Mmmmh mkuu hapo unaposema nahangaika na oldest woman daaah nimecheka sana ....

But all in all hawa watu ndo huwa wananisapport katika mambo yangu an hawa ndo core hvo kuwa escape ni hapana...

Kama sasa hv nawaza nilale kidogo ofisi tafungua hata saa sita hvi
 
Sasa toka lini mishangazi ikawa jau katika afya yangu mkuu ...

We ndo jau hivo unajua kwanini juzi ulikua unalalamika wamekuibia ....?
Kinana sio jambo zuri kutembea na watu wa rika hilo, tafuta rika lako uoe utimize lile jukumu la kuijaza dunia, hivyo vibibi mayai yalishasinyaa .
 
Kaz yenyewe lain unalia kuna kaz za kibabe za kiume show show husikiii barid wala usingiz
Mkuu acha masikhara kazi gani show show za usiku..

Usije ukaja hapa na story za mapenzi et hapana si tunamaainsha kzi kama ulinzi na kazarika
 
Kinana sio jambo zuri kutembea na watu wa rika hilo, tafuta rika lako uoe utimize lile jukumu la kuijaza dunia, hivyo vibibi mayai yalishasinyaa .
Wewe uwezi nishauri kitu vishu..
Huna kichwa hicho kwanza kila siku unaniponda tuu na kuna mda unataka nikutafutie mashangazi ....

Taweka sms zako hapa watu wajue kuwa na wewe ndo wale wale
 
Wanakusaidia au wanakufurahisha huku wakikuharibia FUTURE.

MTU aliyekuzidi umri 10 mbele mwanamke ni ngumu kuwa rule modal wako japo inawezekana
 
Wanakusaidia au wanakufurahisha huku wakikuharibia FUTURE.

MTU aliyekuzidi umri 10 mbele mwanamke ni ngumu kuwa rule modal wako japo inawezekana
Mkuu mkuu mbona kama upo seriously kabisa kunishauri about that things...

Mkuu japo nafanya tuu ila kuna umri ukifika tatafuta one ambaye ta spend nae life mazima ila kwa sasa acha nikomae na hawa watu maana wamefanya mambo mengi makubwa kwangu mkuu
 
Huyo jamaa fundi anayekunywa.tatu asubuhi ni kijana kabisa wa miaka 35 na hana hata miaka 7 ya kuzinywa.

Ila pia nadhani kuongezeka kwa shida za moyo na figo kwa vijana wengi wa 40s nadhani ipo namna energe drinks zinahusika maana vijana wengi wanazitumia kuchanganya na pombe kali.

Na hapo energe drinks zinajumlisha hadi hizi za kwenye vi can kama redbull na monster.

Mkuu jitahidi tu uziache maana afya ndio kila kitu kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…