Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #121
Kwanini mkuu..poor brain umebadilika sana braza
Ebu fanya kuniambia kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuu..poor brain umebadilika sana braza
ulikuwa una madini sana enzi zile 2023Kwanini mkuu..
Ebu fanya kuniambia kaka
Wee lucha unafanya nini hiko cha kufanya mpaka sasa usiku kwako ni kawaida mkuu 🙌🙌🙌Bado mgeni kwenye uanaume ila karibu Si bora we unajifungia ndani na PC wengine hapa ni ma-outsiders imefika hatua usiku tunauona mchana tena siyo kujifungia ndani ni kutoka nje na kuhangaika kiasi kwamba kukesha imekua siyo stori tena ya kuongelea
Ni Stori ya miaka 10 siwezi kuandika kwa comment mojaWee lucha unafanya nini hiko cha kufanya mpaka sasa usiku kwako ni kawaida mkuu 🙌🙌🙌
Mkuu mpaka sasa madini yapo ni vile hapo kati nilipitia wakati mgumu tuu kichwa kikavurugika ila sasa nimerudi...ulikuwa una madini sana enzi zile 2023
shem anaendeleaje lakini? na uncle zangu?
tuendelee kuzisaka brazaMkuu mpaka sasa madini yapo ni vile hapo kati nilipitia wakati mgumu tuu kichwa kikavurugika ila sasa nimerudi...
Mkuu huku hom wazima kabisa shem wako yupp.poa ..
Ma ankol wote bado wapo likizo nahisi tareh sita nitakua nao hapa mkuu
Your warmly welcome
Hapana mkuu 😂Hapo nimekupata sasa...ka ndo hvo huwa kila day lazima nitembee tena ni step za kutosha relini hukooo..
😁😁😁😁🙌 Nikajua unasema niache kazi nikatembeee
Mkuu naachana nazo nimekua najua hzi ni story story tuu..Mkuu Poor Brain kama kuna kitu naweza kukushauri muda huu ni acha kunywa energe drinks kiongozi. Tafiti nyingo zinaonesha madhara ni makubwa. Juzi tu wataalamu wetu Tz wa afya tena wa serikali wamesema ni chanzo cha utasa
Niliwahi kuambiwa zina athiri moyo pia, ila zina uraibu mbaya sana inaweza kufika time ukashindwa kufanya kitu chochote bila kunywa.
Namjua fundi mmoja asubuhi hawezi kufanya kitu hadi anywe chupa tatu za energe drinks, na asipokunywa ni anatetemeka na kudata hamtaelewana.
Mkuu mpaka kieleweke aiseeeetuendelee kuzisaka braza
usiku na mchana
Daaah mkuu kwa sasa si ume staafu au show showNi Stori ya miaka 10 siwezi kuandika kwa comment moja
1.Mimi siwangi mkuu 🤣Unawanga na bardi la njombe hilo mkuu.
Utakufa vibaya wewe
Sasa mie nimesoma pale mjini pale kilimani kabisa ukifika njombe mjini shule inaonekana kwa juu..1.Mimi siwangi mkuu 🤣
2.Sipo njombe mkuu🤣
ILA Njombe hapana.
Wale watoto wanakula ice cream kama mandazi wakati sisi tumetinga makoti mazito na jua linawaka na tunasikia baridi mchana kote licha ya kujisiriba masweta.
Na wale wazee wanaagiza soda ya baridi asubuhi na lile winter 🤣🤣🤣 wana dharau sana wale wabena kuhusu maswala ya baridi hawako serious kabisa.
Mwisho tulichoka sana baada ya mateso yote hayo tukaambiwa baridi saa hiyo limeisha eti ndio msimu wa joto 🤣🤣🤣
Huko kiwira wansemaje wazima lakini ?Hatari sana
Hahaa, umenikumbusha The Notorious B.I.G alikuwa anasema " A nigga's unorthodox" akijisema yeye hafuati sheria za jamii.Kiranga the unorthodox
""Sijafanya kszi za shift za usiku, ila nishaongoza project za dunia nzima zile hazina masaa. Unaweza kuwa umelala New York City usiku halalfu watu wanafanya kazi Japan. Australia au Singapore mchana wao wanakupigia simu utatue matatizo yao.""""Hahaa, umenikumbusha The Notorious B.I.G alikuwa anasema " A nigga's unorthodox" akijisema yeye hafuati sheria za jamii.
Habari za kazi za usiku umenikumbusha miaka mingi iliyopita nilikuwa napiga kazi ya IT System Administration. Kuna mtoto mmoja wa Hong Kong yeye alikuwa anang'ang'ania shift ya usiku tu. Muziki ulikuwa haulali server inabidi liwe na mtu wa kuliangalia masaa 24.
Sasa mimi nilikuwa simuelewi, huyu kwa nini anang'ang'ania shift ya usiku tu? Yeye alikuwa anajifanya kama ananipa favor nisifanye kazi za usiku. Kwamba yeye kashazoea, kwangu itakuwa ngumu.
Nikaja kugundua kuwa jamaa anaipenda shift ya usiku kwa sababu haina usumbufu, akikaa anatulia tu, anaweza hata kulala, hakuna simu, hakuna email za kujibu, anapata shift ya mteremkooo.
Mimi wa shift ya mchana ndiye nilikuwa nafanya kazi sehemu kubwa sana😂😂😂
Sijafanya kszi za shift za usiku, ila nishaongoza project za dunia nzima zile hazina masaa. Unaweza kuwa umelala New York City usiku halalfu watu wanafanya kazi Japan. Australia au Singapore mchana wao wanakupigia simu utatue matatizo yao.
Sijafanya kszi za shift za usiku, ila nishaongoza project za dunia nzima zile hazina masaa. Unaweza kuwa umelala New York City usiku halalfu watu wanafanya kazi Japan. Australia au Singapore mchana wao wanakupigia simu utatue matatizo yao.
Hahahah Umenikumbusha, makete kuna shule inaitwa mwakavuta nimesoma advance nadhani hakuna sehemu ina baridi kushinda makete Tanzania hii. Zinapita wiki mbili hakuna jua ni ukungu tu asubuh mpka jioni, form five wa nyanda za kati na kaskazini mapema sana waliomba uhamishoSasa mie nimesoma pale mjini pale kilimani kabisa ukifika njombe mjini shule inaonekana kwa juu..
Kule ni kitovu cha bardi tz hapa na hapo ujaingia ndani ndani kama makete hukooo..
Jua la kule ni tochi tu..
Nakumbuka kuna kipindi tulikua tunagombana ili kukaa upande wa dirishani wenye jua 😁😁😁😁
Wabena nawapa saloute pipo zinaoga maji ya bard wakati mi kipindi hiki tuu na nipo dasalam ila uniogeshi maji nlbard