Je, ushawahi kufanya kazi za usiku?

Je, ushawahi kufanya kazi za usiku?

Ningependa kuegemea kwenye picha
Sasa kwenye picha hakuna mambo mengi sana hapa ni wewe tuu je unatka uwe
Photography
Graphic designer

Ukisema photography basi hapo ni ujue vitu viwili yaani camera pamoja na software za ku edit picha..

Lakini kama ni graphic design hapo ni kujua software na kuwa creative tuu..

Creativity italetwa na wewe mwenyewe kam utakua upo real interest na haya mambo.

Kwa hatua za kwanza kabisa ni lazima ujue software za kufanyia haya mambo..
Kwa sasa zipo nyingi mno ila universal ni adobe Photoshop... Hii utafanya mambo mengi sana

Hii Photoshop ni kwa wewe beginner pia ila baada ya kuanza kuiva hapo ndo utafta zingine kama illustrator na nyingine nyingi.

Kadri utakavyokua mtaalamu utakua na shauki ya kutaka kujua vtu mbali mbali
 
Hizi Adobe zipo za free
 
Yaaah mi graphics na hizo ndo kazi watu wamasumbua sana...

Ila kama video ni ngumu mtu kuanza kukusumbua maana ishu ya video bana likija suala la kuanza ku export ni kuchoshana

Ndio mkuu wala sio uwongo..
Now i want to find someone ambaye atakua yupo benefits na kwa hzi kazi zangu sitaki mtu awe anakula na kulal kizembe hapa 😁😁😁😁
Kuna pesa sana huku coz malango yake bado hayajaharibiwa kwa maana ushindani bado si mkubwa kiivyo kwahiyo ukipata pesa ufungue kaofisi uweke zako na mashine ya kuprint hata ya head moja kwanza na ile heat ya kupritia vikombe na matishirt, utawapiga sana... Ukitafuta zako pesa unaongeza na dtf machine pamoja na digital hapo basi utakua zako unakaa na kunyoosha miguu juu unasubiri jioni ifike ufunge ofisi ukahonge na kulewa... 😅😅😅

Mwaka wa uchaguzi huu utapiga sana kazi za designing.
 
Nilishawahi kulala kwenye kibalaza cha pump ya mafuta nikiwa naudumia mafuta sheli, mvua yangu. baridi yangu, roho mkononi nikiofia naweza kuvamiwa mda wowote.....kaz za shift ya night tena zile za petrostation achen kabisa.

Nakumbuka siku nimekaa nikawaza kuwa ningekuwa kiongozi wa nchi hii basi ningepiga marufuku huuzaji wa mafuta usiku. wateja waliokuwa wananikela ni bodaboda + bajaji yani hawa jamaa wanazingua, usiku mmoja anakuja kujaza mafuta kila baada ya masaa mawili au moja tena mtu yule yule umemjazia mafuta saa tisa na nusu analudi saa kumi kamili 😡. alafu akifika anakaa kwanzaa anajifikilia weeee, mara atikise pikipiki mara ashuke afute bajaji vumbi na kitambaa tena anafuta yote..... kumbuka amekunyenyua usingizini dk3mpaka5 anatumia kujifikilia aweke ya sh ngapi.🤬🤬🤬mwisho wa siku
anakwambia weka lita moja. kipindi kile ilikuwa kama elf3
Baadhi ya wateja walikuwa waungwana sana yani walikuwa wananikuta mazingira magumu sana usiku nipo na kasweta natetemeka baridi la mwezi wa 6 nimejikunyata kwenye pump 😔😔😔 nimejikunja kama jongoo wananipa pole wenyewe, wanasikitika, wengine hadi wanajieleza kwa nn wanajaza wese
usiku
Kuna wale wateja...watoto wa madoni wanakuja na baby zao wengine wametoka kwenye sherehe wengine club vimini kama vyote wamevimba kwenye gari zao mziki mkubwa makelele kibao...... all in all vijana tunapitia mengi kwenye utafutaji kwa niliyopitia lazma niandike kitabu akisome mjukuu wangu ila mwanangu lazma nimuhadithie apate funzo
Daaah mkuu kwa hii short tuu uliyoongea nina uhakika kama ukija andika uzi itakua poa sana aiseeee...

Mimi nafanya kazi za usiku ila hii yako hapana...

Kuna wewe alafu kuna jamaa ju hapo daaah mna hatariii

Umenikumbusha kuna muvi inaitwa 24hrs daaah fanya uione hyoo.inahusu kituo cha mafuta hv hvo aiseee hatareeee
 
Yani sikutanii sio wote ila bahadhi walikuwa wananikela huwezi kukataa kuwahudumia sababu hupo kazn kila pesa inadhamani kwa boss
Yeah nimeelewa kwa maana nimejaribu kuvuta picha ya baadhi ya matendo uliyoyasema kama hiyo ya kuanza kufuta futa bajaji au pikipiki kwanza au kuanza kutikisa ili ajue kama yamo au hayamo ni tabia ambazo huwa nazishuhudia sana so ndio maana umenifanya nicheke sana😂😂😂
 
Kuna pesa sana huku coz malango yake bado hayajaharibiwa kwa maana ushindani bado si mkubwa kiivyo kwahiyo ukipata pesa ufungue kaofisi uweke zako na mashine ya kuprint hata ya head moja kwanza na ile heat ya kupritia vikombe na matishirt, utawapiga sana... Ukitafuta zako pesa unaongeza na dtf machine pamoja na digital hapo basi utakua zako unakaa na kunyoosha miguu juu unasubiri jioni ifike ufunge ofisi ukahonge na kulewa... 😅😅😅

Mwaka wa uchaguzi huu utapiga sana kazi za designing.
Mkuu umewaza mule mule aiseee an hapa ndo navyofanya an mdogo mdogo tuu naamini kuna mda tatulia mi takua natoa maagizo tuu

Watajuta

Yaani hao madogo wtakesha sana hakuna kulala.kizembe wakati kazi ipo.mezani 😁😁😁😁😁😁
 
Sio jambo jema sana kiafya, uwe unatafta hata vidakika kadhaa vya kuzugazuga kwa kutembea tembea na kunyoosha viungo vyako vya mwili then unarudi mzigoni.
Daaah et nitafute mdaa wa kuzunguka..
Sema mkuu ..... Daah aya lakini ngoja tuoneee maisha haya jamni weee acha tuuu
 
Hizi Adobe zipo za free
Ndio zipp za free ila si nzuri kwa afya ya pc yako..
Ni Bora upate mtu ambaye anazo setup akutumie tuu..

Maana hizo za bure ni zile cracked zipo "get into pc" sasa hzi mara nyingi huwa zina kataliwa na window defender maana window security ina ziterm hizo softwares kama virus..

Sasa ili uweke itakubidi uanze kuzima windows security ndo uinstall
Na ukija zima windows defender show yake inaweza kuwa kubwa ikapelekea kupiga window upya
 
Sijamaanisha kuzunguka uanze kukata mtaa mmoja baada ya mwingine lahasha, yaani vi steps kadhaa tu hapo hapo eneo la kazi 😁
Hapo nimekupata sasa...ka ndo hvo huwa kila day lazima nitembee tena ni step za kutosha relini hukooo..

😁😁😁😁🙌 Nikajua unasema niache kazi nikatembeee
 
Mkuu umewaza mule mule aiseee an hapa ndo navyofanya an mdogo mdogo tuu naamini kuna mda tatulia mi takua natoa maagizo tuu

Watajuta

Yaani hao madogo wtakesha sana hakuna kulala.kizembe wakati kazi ipo.mezani 😁😁😁😁😁😁
Yeah tena kipindi kama hiki huwa kuna matenda mengi ya mashuleni, kuprint matishirt so huwa ni kazi hadi asubuhi yani.

Kuna jamaa yangu wakati tuko chuo yeye aliyaanza haya mambo kama utani, ila baadae akafungua kiofisi akiwa ameweka mashine ya kukatia vitambulisho pamoja na ile ya kubandikia picha mbao, ila sasa hivi ako na ofisi kubwa na ameajiri watu kadha wa kadha huku akiwa na maisha standard ambayo ni ndoto ya vijana wengi wapambanaji... So komaa mkuu.
 
Mkuu ngoja nakomaa hv hv kibishi tuu najua one day yes maana naona kabisa naweza kuja kupata mke ambaye ataanza kunisimanga kama kaka angu Vishu Mtata

Yeye kila siku mkewe anamwambia kwanini mpaka umri ule hana gari
 
Bado mgeni kwenye uanaume ila karibu Si bora we unajifungia ndani na PC wengine hapa ni ma-outsiders imefika hatua usiku tunauona mchana tena siyo kujifungia ndani ni kutoka nje na kuhangaika kiasi kwamba kukesha imekua siyo stori tena ya kuongelea
 
Back
Top Bottom