Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Jina tu poor brain, muache tafadhaliila.hilo sualla la mdogo ako nimeona mkuu kweli wewe ni smart na genius....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina tu poor brain, muache tafadhaliila.hilo sualla la mdogo ako nimeona mkuu kweli wewe ni smart na genius....
Hapana sijui chochote kuhusu video prod... japo napenda sana kufahamu japo hata kidogo hasa kutengeneza animation kama katuniKaribu mkuu tuwe tuna share ma idea kama ni mtu wa hizi kazi mkuu
Ina maana mchana hupumziki/hulali na usiku pia hulali ?.....hata ukilala ni kwa kujiegesha tu?....Asante sana madamu..
Umeongea kitu nimeelewa sana hapo kuwa pesa zipo tuu..
But nimefikilia njia nyingine ya kukwepa hvi vitu ni kutafuta mwenza ambaye either awe anafanya haya mambo ili tusaidiane usiku yaani tupeane shift ...
Au awe na kichwa chepesi nimfundishe maana mi mchana nakua bize kuliko usiku yaani mchana kasheshe yake aaaaah hata mda wa kulala upati..
Kula tuu yaani ni kwa mbinde unaweza letewa chakula ila sasa kuna pipo zinakutinga mpaka chakula chapoa
Mkuu hapana hilo jina lisikupe shida mimi ni smart sana..Jina tu poor brain, muache tafadhali
Nilifanya kazi na kikampuni fulani cha wahindi kilikua ni cha mambo ya urembo, ilikua hatari sana, ilikua ni bandika bandua na Kila task ukipewa lazima iishe ndani ya muda so kukesha ilikua ni swala la kawaida.Kwanini mkuu ukapoteza interest..
Mbona mambo yapo fire huku...
Daah yaani now mambo yanavyoenda hizi sector i muhimu sana mkuu
Hatari sana. Ila solution yangu ilikuwa kuacha kwa muda kama mwezi hivi kichwa kinarudi normal.Daaaah mkuu mbona wewe ulikua una hatari bora hata mimi aiseeee...
Mi kuna mda naona kabisa hapa kichwa sio changu ila kulala mchana ni lazima nitalala tuuu tena masaa mengi
Asante sana madamu..
Umeongea kitu nimeelewa sana hapo kuwa pesa zipo tuu..
But nimefikilia njia nyingine ya kukwepa hvi vitu ni kutafuta mwenza ambaye either awe anafanya haya mambo ili tusaidiane usiku yaani tupeane shift ...
Au awe na kichwa chepesi nimfundishe maana mi mchana nakua bize kuliko usiku yaani mchana kasheshe yake aaaaah hata mda wa kulala upati..
Kula tuu yaani ni kwa mbinde unaweza letewa chakula ila sasa kuna pipo zinakutinga mpaka chakula chapoa
Karibu mkuu haya mambo kama una interest nayo mbona utaelewa chap tuu mdogo mdogo...Hapana sijui chochote kuhusu video prod... japo napenda sana kufahamu japo hata kidogo hasa kutengeneza animation kama katuni
Mkuu wee acha tuu yaani acha tuuuIna maana mchana hupumziki/hulali na usiku pia hulali ?.....hata ukilala ni kwa kujiegesha tu?....
Aloooo..... usisahau 'KUISHI' aiseee...japo pesa ni muhimu
Sasa kijana, hiyo "A" ya chemistry italeta faida gani kwake ?Mkuu hapana hilo jina lisikupe shida mimi ni smart sana..
Kwanza nina A ya chemistry advance.....
Mkuu assume tuu A ya chemistry
Assume tuu hiki kichwa kili vunja bond zote zile 😁😁😁😁😁😁😁
Madam naacha naacha kuanzia sasa..Fanya chap upate msaidizi kama income inaruhusu kufanya hivyo
Si unajua afya ya uzeeni mara nyingi ni impact ya tunavyoishi huku ujanani kwenye 20's na 30's
Hizo energy tukiacha utani na mazoea ya JF nakushauri uziache mara moja
Faida ni kwa wewe kuwa umemchaguli mdogo wako kijan smart... 😁😁😁Sasa kijana, hiyo "A" ya chemistry italeta faida gani kwake ?
Nitajitahidi mkuu daaahAchana na energy drinks
Hizo sector ni muhimu kweli kwa maana mtu lazima uwe na plan nyingi kwenye maisha, mlango huu ukifungwa unaenda kwenye ule ambao uko wazi.Kwanini mkuu ukapoteza interest..
Mbona mambo yapo fire huku...
Daah yaani now mambo yanavyoenda hizi sector i muhimu sana mkuu
Nilidhani tumekubaliana unafanya namna upate muda wa kulalaMadam naacha naacha kuanzia sasa..
Hi ya leo namalizia tuuu..
Ila daaah ujue kukaza usingizi kavu kavu hiki kipengele mmmmh hatareeee
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 Safii kabisa ukampa yoteeee waaaah....Nilifanya kazi na kikampuni fulani cha wahindi kilikua ni cha mambo ya urembo, ilikua hatari sana, ilikua ni bandika bandua na Kila task ukipewa lazima iishe ndani ya muda so kukesha ilikua ni swala la kawaida.
Lakini pia kuna siku nikakutana na mkenya fulani akanipa task ya kuandaa thesis fulani hivi, maneno elfu kumi, ile task nilikaa macho 24 kuandika huku napekua mavitabu kadha wa kadha ila baadae yule jamaa alinizidi ujanja nilipompa ahakiki nikamtumia kazi yote baada ya hapo akawa hapatikani Kila mahali kwa maana ya kwamba alinibulokuuu 😂😂😂 na mbaya zaidi nilikutana nae Facebook sio kwenye zile app rasmi za freelancer.
Ndo tupo humo.mkuu tunapambania kombe huku na kule mpaka kieleweke anHizo sector ni muhimu kweli kwa maana mtu lazima uwe na plan nyingi kwenye maisha, mlango huu ukifungwa unaenda kwenye ule ambao uko wazi.
Asante mkuu nimeuchukua ushauri wako...Nilidhani tumekubaliana unafanya namna upate muda wa kulala
Enwei,kila la heri