Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Vijana wengi wako bize usiku wanayatumikia mashangazi 😏Je ulishawahi kufanya kazi hizi za usiku mpaka ukawa upo bize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wengi wako bize usiku wanayatumikia mashangazi 😏Je ulishawahi kufanya kazi hizi za usiku mpaka ukawa upo bize
Mkuu unawahi kutana na kazi bandika bandua alafu zote ni maliKupumzika ni muhimu sana mkuu, panga pangua set time ya kulala hata kama ni 5hrs.
Astakfillah astakfillahVijana wengi wako bize usiku wanayatumikia mashangazi 😏
Fanya hvyo ni hatariNitajitahidi mkuu daaah
Sawa sawa japo nimetumia tumia je effect yake nikiacha sasa je inaweza niathri hapo badae mkuuFanya hvyo ni hatari
Sidhani kama ina shidaSawa sawa japo nimetumia tumia je effect yake nikiacha sasa je inaweza niathri hapo badae mkuu
Nakuelewa mkuu, kwa sasa unakomaa hivyo kwa sababu afya ipo good, ikizingua ndio utakumbuka ushauri wetu hapa.Mkuu unawahi kutana na kazi bandika bandua alafu zote ni mali
Nipe intro basi au naanza anza vipi?Karibu mkuu haya mambo kama una interest nayo mbona utaelewa chap tuu mdogo mdogo...
Hata mi nilikua napenda sana nikaanza kujikita sasa kwa kufanya practical...
Hivo kama una wiwa mkuu unaweza anza hata sasa.
Kuhusu software zipo nyingi sana utapewa site
Naacha mkuu mana. Nilikua najua hizo ishu ni story tuu an maana hao watumiaji wa energy drinks kwa mda ambao zimeanza ku trend hyo generation ya kwanza kutumia hata bado hawajafikia uzee wa namna hyoooSidhani kama ina shida
Mkuu umenitisha hapo 🙌🙌🙌🙌Nakuelewa mkuu, kwa sasa unakomaa hivyo kwa sababu afya ipo good, ikizingua ndio utakumbuka ushauri wetu hapa.
So wewe ni mtu wa graphics sio? Hiyo ya marekebisho haiepukiki hasa mteja akiwa ni mdada, huwa wanasumbua hao hatari hatari yani.😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 Safii kabisa ukampa yoteeee waaaah....
Bora yetu sisi kuna ishu ya water mark....
Daaah huyo jamaa tunasema alikua genius et... Hizi kazi ujanja ujanja mwingi sometimes...
Mi changamoto nayokutana nayo ni kurudia kazi zaidi ya mara tano..
Unakuta mtu anakupa maelekezo kibao an kila mda anataka hiki..
Mara rangi hataki.
Mara weka maneno haya
Mara sijui hilko mara kile an shida tupu
Aaaah sawa sawaNipe intro basi au naanza anza vipi?
Muhimu hiyo kama clients wapo wa kutosha unaendelea kuadvance hatimae unapata agency yako saaafi kabisa.Ndo tupo humo.mkuu tunapambania kombe huku na kule mpaka kieleweke an
Mi hapa nasema najiwekea mazingira mazur for future ooooh staki nije sumbua watu aiseee
Uamuzi ni wako, kutafta hela ni jambo jema sana ila jambo la kwanza kabisa ni kuhakikisha haubuguzi afya yako ili uendelee kumake kila siku.Mkuu umenitisha hapo 🙌🙌🙌🙌
Yaaah mi graphics na hizo ndo kazi watu wamasumbua sana...So wewe ni mtu wa graphics sio? Hiyo ya marekebisho haiepukiki hasa mteja akiwa ni mdada, huwa wanasumbua hao hatari hatari yani.
Ningependa kuegemea kwenye pichaAaaah sawa sawa
Yaan mkuu inategema wewe unataka u deal na kitu gani kama ni video au picture
Kama ni video basi kikubwa ni kujua software ambazo zinatumika au weww utatumia..
Baada ya hapo ni kuanza kutafuta tutorial YouTube ili uanze kujifunza mdogo mdogo lakini before that lazima umpate mtu anayejua ili akupe basic kwanza
Naongea hapo kwa mtu ambaye tayar ana PC yake safi kabisa na ina uwezo interm ya RAM na Graphics card
Ndio mkuu wala sio uwongo..Muhimu hiyo kama clients wapo wa kutosha unaendelea kuadvance hatimae unapata agency yako saaafi kabisa.
Sema hapo kwa dereva boda na bajaji nimecheka 😂😂😂😂Nilishawahi kulala kwenye kibalaza cha pump ya mafuta nikiwa naudumia mafuta sheli, mvua yangu. baridi yangu, roho mkononi nikiofia naweza kuvamiwa mda wowote.....kaz za shift ya night tena zile za petrostation achen kabisa.
Nakumbuka siku nimekaa nikawaza kuwa ningekuwa kiongozi wa nchi hii basi ningepiga marufuku huuzaji wa mafuta usiku. wateja waliokuwa wananikela ni bodaboda + bajaji yani hawa jamaa wanazingua, usiku mmoja anakuja kujaza mafuta kila baada ya masaa mawili au moja tena mtu yule yule umemjazia mafuta saa tisa na nusu analudi saa kumi kamili 😡. alafu akifika anakaa kwanzaa anajifikilia weeee, mara atikise pikipiki mara ashuke afute bajaji vumbi na kitambaa tena anafuta yote..... kumbuka amekunyenyua usingizini dk3mpaka5 anatumia kujifikilia aweke ya sh ngapi.🤬🤬🤬mwisho wa siku
anakwambia weka lita moja. kipindi kile ilikuwa kama elf3
Baadhi ya wateja walikuwa waungwana sana yani walikuwa wananikuta mazingira magumu sana usiku nipo na kasweta natetemeka baridi la mwezi wa 6 nimejikunyata kwenye pump 😔😔😔 nimejikunja kama jongoo wananipa pole wenyewe, wanasikitika, wengine hadi wanajieleza kwa nn wanajaza wese
usiku
Kuna wale wateja...watoto wa madoni wanakuja na baby zao wengine wametoka kwenye sherehe wengine club vimini kama vyote wamevimba kwenye gari zao mziki mkubwa makelele kibao...... all in all vijana tunapitia mengi kwenye utafutaji kwa niliyopitia lazma niandike kitabu akisome mjukuu wangu ila mwanangu lazma nimuhadithie apate funzo
Mkuu kingine kazi zangu nakaa sana mfano hizi za mchana nakaa sana sana yaani sana.....Uamuzi ni wako, kutafta hela ni jambo jema sana ila jambo la kwanza kabisa ni kuhakikisha haubuguzi afya yako ili uendelee kumake kila siku.