Siku zote kupenda/kutamani huanza na fikra zisizothibitika...
Hivyo ni jambo la kawaida sana kwa kila mmoja wetu na wengi hututokea...
Kasie hebu sogea huku mama wa makrashi...
Ndio au we unataka uendelee kujitesa na feelings😂😂 kwa maana kama yupo humu akikulike tu ni utatetemeka,ukiona comments zake unajikuta unasmile mwenyewe.[emoji23][emoji23] nimwambie kwamba nampenda ?
Ofcourse and it makes sense kwa wanaopendana tu ila kwa jamii it doesn't make senseHapo ndio utakuwa genuine. Love matters kwa wanaopendana sio kwa jamii inayowazunguka.
[emoji23][emoji23][emoji23] naendelea tu kujitesa love.Ndio au we unataka uendelee kujitesa na feelings[emoji23][emoji23] kwa maana kama yupo humu akikulike tu ni utatetemeka,ukiona comments zake unajikuta unasmile mwenyewe.
Mfanye ajue kwamba unamuelewa 😉
Hapana naona upendo uliojificha ndani ya gunia mbili za mkaa..Unaona nini, uadui?
Basi njoo huku tunywe zetu mbege....weekend ya mwisho wa mwezi raha sana!Hapana naona upendo uliojificha ndani ya gunia mbili za mkaa..
Sema kweli nizikimbie hizi ofa za kirikuu niwahi chap, mbege ilipo ndipo moyo wangu ulipo.Basi njoo huku tunywe zetu mbege....weekend ya mwisho wa mwezi raha sana!
Fanya hima, huku kumenoga mbaya...ukichelewa utakuta ndafu imeishaSema kweli nizikimbie hizi ofa za kirikuu niwahi chap, mbege ilipo ndipo moyo wangu ulipo.
Hahaha naja kikongwe mrembo, embu fanya hata kunifichia finyango mbili kwa lemba lako.Fanya hima, huku kumenoga mbaya...ukichelewa utakuta ndafu imeisha
Hahaha...Hahahahhahahaaa waatuuu maambo, makumithiiii.... fanya mchakato wa fruits party (natumai uneelewa, kama hujaelewa itakuwa hujavuta ze bangee long kitambo) umwambie pa cha wako akuazime msuba kidogo hehehe.
Umenikumbusha enzi za crush, hapo nilikuwa na fall kwa jicho la hamad uso kwa uso...
Ila acha nielezee uzoefu wangu humuhumu JF.
Tumetaniana na kusemeshana sana kwenye majukwaa humu jamvini ilhali hatujuani, ila tulikuwa tumezoeana kama tunaishi pamoja, hatukuwa na mipaka.
Baada ya muda vimelea vya mapenzi bin Mahaba vikaanza kujaa akilini mwangu nikimuwaza kuwa inakuwaje tukiwa wapenzi...
Siku ya siku akanijia PM nami sikufanya ajizi...
Baada ya kitambo tukawa secret lovers... Ikafika wasaa tukapeana mawasiliano huko nje huko weeh ikawa raha zaidi ya hapa....
Siku ya siku tukaonana mahali panaitwa SatoSangara.... Najua mwenyewe ameshaelewa...
Much love and big shout out to you Dadii.... Mmuah!!
Mahaba yetu yalianzia tukiwa hatujuani, tulipo onana uso kwa uso ikawa whaat, where was I all this time... Am so into him so does he.... Aahahahahahahaaa najua kuna mtu atakuja kunirekebisha lugha hapa, you know whaat.....
Am So Happy it's already weekend....
Hahaha...
Nimeelewa buana, mwandiko wako haujawahi badilika hata....yo just get ready matunda party ndio mpango mzima !!!!
Hivi unajua hata sikumbuki mara ya mwisho kutumia msuba ilikuwa lini, labda enzi zile za ujana wetu, msuba kidogo mazoezi sanaaa ya kufukuza upepo all the way from downtown hahahaa!!!
Hayo ya KibuaChangu mmmh!!! kweli wakubwa wanafaidi...
Weekend ndio kwanza imeanza, ila iko poa...Hahahahahhahaaaahahaha waatuuu, kwani hata wewe si unafaidi hapo ulipo? Sukari ya warembo.... Shurti kupakana ulimbo ni mwendo wa kunatana tuu huku mkijiramba utamu hehehheheeee.
Mambo lakini, weekend iko poa?
Weekend ndio kwanza imeanza, ila iko poa...
Kasie hiyo a.k.a buana itaniletea balaah hebu ifute basi...hehehe!!
Heheheheheee nnavopenda kubembelezwa sasa..... kazi unayo hapo kwenye kuifuta aka hehehehehehehe
Ngoja nifikirie ukorofi bin uchokozi kabla ya sijaifuta hiyo aka.
Hivi ilishatokea ukafika parking jioni halafu ukakuta tairi in a pancha halafu ukajiuliza..... Kasie hahusiki kweli hapa..... aahahahahahahahahaaa
Kasie Mavurugu.
[emoji23][emoji23][emoji23]hata wakisikia umetobolewa macho.Ngoja nikomae nae anaweza akawa wife,maana mi mwanamke nikimsababisha alie kwa ajili yangu huwa ananivutia sana,maana hawa wengine ni sijawahi kuona machozi yao hata wakisikia nimetobolewa macho,yaan ni wakavu tu.
Hahaha!
Uzuri nishakuzoea wewe cha uchokozi...