Nakuomba mtafute alhaji yoyote muulize kama alivyotbelea kaburi la firauni ,na je MWILI wake Bado upo,yaani hi alhaji aliniambia alivyokuwa anaemda kuangàlia alikuwa firauni ni binge la mtu kumbe ana kaumbo kadogo kamtu kafupiUmeutoa wapi huu uzushi na uongo?
Tuachane kwanza na hayo ya Mwili wa Fir'awn. Sio kweli kwamba ili Hajj ya mtu ikamilike ni lazima aende huko Misri kuangalia hizo Mummies. Mkuu, unajua nini maana ya Hijja?Nakuomba mtafute alhaji yoyote muulize kama alivyotbelea kaburi la firauni ,na je MWILI wake Bado upo,yaani hi alhaji aliniambia alivyokuwa anaemda kuangàlia alikuwa firauni ni binge la mtu kumbe ana kaumbo kadogo kamtu kafupi
Kweli sijui maaña ya hijja siko vizuri kuhusu dini ila nilisema hivyo Ili kutoa uzito kwa mahujaji walionisomulia kuwa walitembelea kaburi là firauni,samahani sana kama nimeongeza chumviTuachane kwanza na hayo ya Mwili wa Fir'awn. Sio kweli kwamba ili Hajj ya mtu ikamilike ni lazima aende huko Misri kuangalia hizo Mummies. Mkuu, unajua nini maana ya Hijja?
Usijali ndugu yangu, ni katika kukumbushana tu na kuwekana sawa. Ni muhimu mno tuisome Dini yetu hasa yale ya msingi kama nguzo za Uislam.Kweli sijui maaña ya hijja siko vizuri kuhusu dini ila nilisema hivyo Ili kutoa uzito kwa mahujaji walionisomulia kuwa walitembelea kaburi là firauni,samahani sana kama nimeongeza chumvi
Asante nashukuruUsijali ndugu yangu, ni katika kukumbushana tu na kuwekana sawa. Ni muhimu mno tuisome Dini yetu hasa yale ya msingi kama nguzo za Uislam.
Kutembelea "kaburi" la Fir'awn huko Misri, sio sehemu ya Ibada ya Hajj wala Umrah.
Kitendo cha kumuandika tu......Mda mrefu nimekaa nikatafakari ili swali. Ni kweli WATANZANIA hawammisi wala kumkumbuka Rais wa zamani Hayati Magufuli...
Moja ya sifa ya kummiss mtu na kumkumbuka, ni kuandika Jina lake kama ulivyofanya wewe hapa mlugaluga na mjinga Mkubwa weweMda mrefu nimekaa nikatafakari ili swali. Ni kweli WATANZANIA hawammisi wala kumkumbuka Rais wa zamani Hayati Magufuli...
[emoji871]Sema kwamba wewe ndie hau mmiss.Mda mrefu nimekaa nikatafakari ili swali. Ni kweli WATANZANIA hawammisi wala kumkumbuka Rais wa zamani Hayati Magufuli.
Watumishi wa umma hawammis, wabunge, majeshi yetu, hata wafanyabiashara na vyama vya upinzani havimmisi.
Ye mwenyewe alisema tutamkumbuka, Ila mbna hatumkumbuki?
Kumbe dunia hii hakuna mtu wa muhimu Sana, mtu akifa watu wanamsahau. Na maisha yanaendelea.
Tanzania inaendelea vizuri tu bila Magufuli
Mda mrefu nimekaa nikatafakari ili swali. Ni kweli WATANZANIA hawammisi wala kumkumbuka Rais wa zamani Hayati Magufuli.
Watumishi wa umma hawammis, wabunge, majeshi yetu, hata wafanyabiashara na vyama vya upinzani havimmisi.
Ye mwenyewe alisema tutamkumbuka, Ila mbna hatumkumbuki?
Kumbe dunia hii hakuna mtu wa muhimu Sana, mtu akifa watu wanamsahau. Na maisha yanaendelea.
Tanzania inaendelea vizuri tu bila Magufuli
Samia kasema huwa anasikia sauti yake.Mda mrefu nimekaa nikatafakari ili swali. Ni kweli WATANZANIA hawammisi wala kumkumbuka Rais wa zamani Hayati Magufuli.
Watumishi wa umma hawammis, wabunge, majeshi yetu, hata wafanyabiashara na vyama vya upinzani havimmisi.
Ye mwenyewe alisema tutamkumbuka, Ila mbna hatumkumbuki?
Kumbe dunia hii hakuna mtu wa muhimu Sana, mtu akifa watu wanamsahau. Na maisha yanaendelea.
Tanzania inaendelea vizuri tu bila Magufuli
Kajinga kamoja kamelipwa visenti kana kuja kubwabwaja hapa eti kamemsahau wakati kameanzisha sredi kumhusu.Samia kasema huwa anasikia sauti yake.
Mbona we umemmisi, kitendo cha kuandika tu hivi ni kiashiria tosha umemkumbuka.Mda mrefu nimekaa nikatafakari ili swali. Ni kweli WATANZANIA hawammisi wala kumkumbuka Rais wa zamani Hayati Magufuli.
Watumishi wa umma hawammis, wabunge, majeshi yetu, hata wafanyabiashara na vyama vya upinzani havimmisi.
Ye mwenyewe alisema tutamkumbuka, Ila mbna hatumkumbuki?
Kumbe dunia hii hakuna mtu wa muhimu Sana, mtu akifa watu wanamsahau. Na maisha yanaendelea.
Tanzania inaendelea vizuri tu bila Magufuli
Jisemee ww, me namkumbuka sana rais wangu bora wa muda woteMda mrefu nimekaa nikatafakari ili swali. Ni kweli WATANZANIA hawammisi wala kumkumbuka Rais wa zamani Hayati Magufuli.
Watumishi wa umma hawammis, wabunge, majeshi yetu, hata wafanyabiashara na vyama vya upinzani havimmisi.
Ye mwenyewe alisema tutamkumbuka, Ila mbna hatumkumbuki?
Kumbe dunia hii hakuna mtu wa muhimu Sana, mtu akifa watu wanamsahau. Na maisha yanaendelea.
Tanzania inaendelea vizuri tu bila Magufuli
ni nyinyi mafukara na maskini wa kipato ndio mnamkumbuka kwa mazuri huko uswahilini kwenu.Kitaa anakumbukwa Sana ,