johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hapa Mafinga tunajenga sanamu yake ametuheshimisha sana!The comical Magu!πππ
Ah bora ntoke kwa huu uzi..maana nashindwa jikaza kuchekAπ€£π€£πHapo sijazigusa "regase"!Nikizigusa tu zitakuwa "intaplinywaa"!ππππ
Muijenge pale Davis Corner.Nikilewa niwe naiamkia.ππππHapa Mafinga tunajenga sanamu yake ametuheshimisha sana!
Huu Uzi ni wa kusifu na kuabudu,atakayejichanganya aponde atakula mvua ya mitusi ya kufa mtu.Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo
Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu
Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida
RIP Shujaa Magufuli
Itakuwa pale kwa Bilionea MoshaMuijenge pale Davis Corner.Nikilewa niwe naiamkia.ππππ
Au muijenge kule Nyamisisye Kiabakari tunaponunua ndizi.ππππItakuwa pale kwa Bilionea Mosha
Wajenge pale sheli kabisa..au kule juu karibia TuicoMuijenge pale Davis Corner.Nikilewa niwe naiamkia.ππππ
Chabakari...kuna fumbi jekunduuAu muijenge kule Nyamisisye Kiabakari tunaponunua ndizi.ππππ
Madereva wahuni wa Mwendamseke injini nyuma wataigonga.ππππWajenge pale sheli kabisa..au kule juu karibia Tuico
Amewaheshimisha kwa kitu gani hapo Mafinga? Nyee!Hapa Mafinga tunajenga sanamu yake ametuheshimisha sana!
Usisahau kulala kwenye mawe ChamwinoYaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo
Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu
Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida
RIP Shujaa Magufuli
Umeanza kupa-diss ukweni?Simalizii mahari.πππChabakari...kuna fumbi jekunduu
Na raba zake za buku 6Usisahau kulala kwenye mawe Chamwino
πUmeanza kupa-diss ukweni?Simalizii mahari.πππ
ππ π€£Na raba zake za buku 6
Mzalendo wa kweliNa raba zake za buku 6
π€£π€£π€£π€£π€£Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo
Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu
Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida
RIP Shujaa Magufuli
Subhannallah!Na raba zake za buku 6
APia!Mzalendo wa kweli