Magu alikuwa simple Sana.Alikuwa mkali na Kuna wakati alikuwa na huruma.Yaani anakasirika anakukaripia halafu anakuonea huruma .
 
Rip Shujaa!
Mbona unasahau swaga nyingine?
Mara kakwapua Tril 1.5
Mara kfungua akaunti China hela za Plea Bargaining
Mara kazaa na mke wa balozi nanihii...
Mara kawaambia jamaa wasije na mavi yao mjini....

Jamaa yule kwa swaga ni balaa!
Watu wanaimba Trillion 11 Wewe bado umekariri 1.5
 
Widow original sasa hivi anafuraha ya ajabu, lakini hawa widow (michepuko) kilio chao kila siku JF hadi wametuchosha.
Tundu Lisu: Nina Marafiki zangu CCM na Serikalini

Mbowe: Wanachama wenzangu wa CCM

Mdude Chadema: CCM ni adui wa Chadema nitapambana nao
 
Level yake ilikuwa ya uwaziri siyo urais
 
[emoji3] sio kamba hii mkuu
 
MAZUZU yalimshangilia [emoji1787][emoji1787] kumbe anatafuta namna ya kuwaibia

Inaonekana kila mtu kaibiwa kitu tofauti,kuna watu kawaibia sifuri za chini,na kuna sisi katuibia hela,

Sisi wa hela hatuna shida maana hatuonyeshwi aliiba wapi.
 
Huko huko wahuni wahuni wakachomoa betri kwisha Habari yake
 
Mwamba pamoja na mapungufu yake lakini alikuwa mwamba kweli !! 🇹🇿
 
Alitisha sana.

Alikuwa anaingia mtaani kwa uhuru balaa
 
Umesahau alipenda sana hii kitu.
 

Attachments

  • IMG-20230215-WA0108.jpg
    39.8 KB · Views: 8
Basi wale waliogongwa na chuma JPM kisawasawa (mafisadi, wachawi na vilaza waliofeli shule wakachomekwa kazini na mahawara zao kwa vyeti feki) wakishaandika uzi kama huu wanaenda kushtuana huko waje kuuchangia kumkandia chuma JPM ili uzi uonekane umejaajaa. Wengine yale maID yao matano matano ndio wanayatumia hapa. Yani wanajichokonoa halafu wanacheka wenyewe
 
Mwamba alijua kuunguruma nchi nzima. Kuna watu wanatamani ila ndo hivyo tena hawana nyota ya JIWE
 
he was a primitive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…