Ungejua now ndio tunaonekana wadwanzi kuliko kenya.

Matukio ya kiseee mengi.
Huduma duni za kijamii.
Ushoga, usagaji, vitendo vya kidwanzi vimekithiri.
Madeni ya taifa mengi na hayajulikan yanafanyiwa nini.

Hiii inatuchafua tunazungunziwa vibaya saana
 
Naona umedandia mwendokasi kwa mbele mwisho wake umevunjika mguu
 
 
Hivi kuna mahali Magufuli alishawahi kuandika kwamba anataka wateule wake wakate viuno? 🤣

Kama ipo naomba leta ushahidi otherwise we ni fala mmoja. Tabia ya upambe wanayo watanzania wengi tu hata sasa wapambe wapo wanaojiita chawa wa Mama.

Walikuwapo hata enzi za Jakaya, hulka za watu binafsi hazihusiani na kiongozi aliyepo madarakani. Ukiamua kuwa mpambe unakuwa zako mpambe. Ukiamua kukaa kimya unatulia zako na hamna raisi atakusumbua ati kisa humfanyii upambe nuksi.
 
Hivi huyu jamaa alikuwa analewa au kichwa chake kipo tenge tu naturally?
 
Kweli kabisa.
 
Inawezekana mwenzangu umenizidi kwa ujinga, unadhani kwa miaka sita bei ya bidhaa zilikuwa zimesimama zinamsubiria yeye? Na kikubwa kinachoshusha bei ya bidhaa ni mafuta siyo umeme
 
Si wewe unapenda michongo mpaka ukachukua vyeti vya marehem alipambana darasani wewe ukaona shangwe.
Siwezi chukua cheti cha mtu kama Makonda na Musiba rafiki zake mwendazake walivyofanya.Inaonekana asilimia kubwa ya wateuliwa na wapambe wa Magufuri walikuwa ni vyeti feki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…