Kuwachagua ndio kuwaponza?

Nguvu ya kanda ya Ziwa huwezi ifananisha na Pwani.
 
Ikiwezekana tupate rais mkurya kabisa ile ya magu ilikuwa cha mtoto tunataka chuma kingine
 
Hata hivyo kanda ya ziwa imeshatoa Marais wawili, pwani watatu na kusini mmoja. Ni vyema kuangalia na kanda nyingine zilizobaki
 
Mtetezi wa Wanyonge RIP DR .MAGUFULI alipinga kwa ukali Ushoga na Usagaji nchini Tanzania .


Your browser is not able to display this video.
 

- value, I wish it was zero
 
Hata hivyo kanda ya ziwa imeshatoa Marais wawili, pwani watatu na kusini mmoja. Ni vyema kuangalia na kanda nyingine zilizobaki
Mtendaji Mkuu ni Waziri Mkuu, hasa kama Rais ni mwadilifu. Baada ya huyo kuna watendaji wa kisekta, hasa fedha na elimu. Kanda ya Kaskazini imetoa Waziru Mkuu mara 4, akiwamo Naibu Waziri Mkuu mara moja, jumla 5. Kanda hiyo hiyo imetoa Waziri wa Fedha, Waziri wa Elimu, mara 7. Matokeo yake si unayaona? Wana University 5; hospitali za rufaa 4; Airports 3 umbsli wa kilometa 48; na barabara za lami hadi migombani. Linganisha na kwa Rais Nyerere, Rais Mkapa; Rais Magu; na Rais Kikwete - hakuna kitu. Magufuli walijenga tawi dogo la CRDB wakamrukia kuwa anapendelea kwao. Kaweka Airport eneo la kilometa 400 wakamrukia eti ni Gbadolite. Hapo hujasema kwa Waziri Mkuu Majaliwa, hakuna kitu. CHADEMA sasa wanataka kujitenga wajitawale kwa kikabila (eti viongozi wapigiwe kwenye sehemu zao), sidhani kama Watanzania watakubali.
 
Hilo waachie watanzania wenyewe maana wewe ni mushuti wa Burundi
 
Mimi nitamkumbuka kwa utawala wake wa mabavu na kutofuata sheria ambao mwisho umeifanya CCM kutambua na kukubaliana na mchakato wa Katiba Mpya
 
Mimi nitamkumbuka kwa utawala wake wa mabavu na kutofuata sheria ambao mwisho umeifanya CCM kutambua na kukubaliana na mchakato wa Katiba Mpya
Kwa hiyo unampinga tundulissu? Kasema mara alfu kuwa Magufuli hana kosa, mwenye makosa ni Nyerere aliyejilimbikizia madaraka mwaka 1962. Aidha, Magufuli kajishindia kura mara 2, Nyerere na Mwinyi walikuwa wanapita bila kupingwa. Isitoshe, Magu kaega barabara na lami na shule kila mahali, zamani zote zilikuwa zinaenda kanda moja tu. Amefanikiwa kuhamisha Mji Mkuu kwenda Chato sorry Dodoma, uamuzi ulipotishwa kwa referendum ya CCM mwaka 1978. Hizo hela zote zamani zilikuwa zinaliwa na wachache, sasa CHADEMA wanataka kujitenga watawaliwe Kikabila. Kosa la Magufuli kwako kumbe ni kuwa mkali lutetea maslahi ya Watanzania wote. Pole.
 
1.5trillion ziko wapi?
 
Kufuga majambazi
 
1.5trillion ziko wapi?
Mwulize Mr Mbowe. CAG Professor Assad aliwalima audit query mbili CHADEMA: 1, kwa nini hawa picha ya Rais ofisini? 2, wamepeleka wapi shilingi 1.5tr/= za ruzuku walizopewa tangu kwa Luwassa ili zijenge nyumba hadi sasa wanaka nyumba ya mtu mbavu za mbwa chooni pale Ufipa Street? Ask him.
 
Jibu swali wapi 1.5 trillion za watanzania?
 
Jibu swali wapi 1.5 trillion za watanzania?
Nimekwambia mwulize CAG Professor Assad kama keshajibiwa na Mr Mbowe. Au wewe huyo mwenyewe si una macho na akili timamu? Nenda CHADEM Hdqtrs Ufipa Street Kinondoni useme kama hicho kiota kina thamani ya 1.5tr/=, ukashajirizisha mweleze CAG wa leo CPA Kidata. Pia kuna audit query ya hela za msamaha wa kodi Vitimaalum kunde ni tractor la Mr Mbowe shambani kwake Ifakara kwa Mhe. Lijualikali, misuse by misdirection.
 
Tunamkumbuka kwa, " wapi Ben saanane, wapi Azory Gwanda we mzee huko uliko? tunataka majibu.
 
Japo na yeye alikosea sana ila kwa haya yanayoendelea kusema za ukwelli magufuli alikuwa mzalendo kweli kweli bila kupindisha yule bwana alinyooka vibaya mno na alikuwa Rais mzalendo na bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili

Huko uliko nisamehee kwa kukusema kwa ubaya! Nisamehe sana mzee wangu magufuli! Nchi inaenda kuzimu hii baada ya wewe kuondoka! Nisamehee nimekosa mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…