JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Kuwachagua ndio kuwaponza?Hamna wa kumlilia bali mlilieni JPM ,kabla hajawa Rais wanasiasa toka mkoa wa Kagera walikuwa hawaaminiki,hakuna mwanakagera angeota kipewa nchi,hata yeye alilijua ,akafanya sarakasi Chato ikatoka Kagera ikaenda Geita,akajiita msukuma,kabila kubwa nchini akapata kura zao kirahisi.
Kiasili wasukuma walioenda shule huwa ji watu humble sana ,wake makatili wengi ni kwa sababu ya kukosa elimu,ndio huamini mambo ya kishirikina,hao usiwachezee,Watu wa mkoa wa Mara hao wanajulikana sitaki kuwaelezea.
Aliooingia madarakani aliteua watu kuyoka hiyo mikoa ili wamlinde,IGP,CDF, Hazina,Jaji mkuu,DPP
na wengine wengi tu,ila alijikuta anawaponza kwa amri zake ikaonekana watu wa hiyo kanda wana shida,Mabeyo peke yake ndio hakuchaguka na alisoma mchezo,siku ya mazishi akaona aongee speech ya hisia ili aonekane hakuwa tatizo.
Wazee wa chama wameliona hilo wamejiapiza kuwa Tanzania ni kubwa kuna Pwani,Kusini,Kaskazini,Kati,Nyanda za juu kusini,huko kote kuna watanzania makini wanaoweza kuongoza nchi ila sio kanda ya ziwa
Nguvu ya kanda ya Ziwa huwezi ifananisha na Pwani.