Hilo halina ubishi,Idi Amini,Adolf Hitler, Stalin, Mussolini wote hawa tunawakumbuka,swali ni je tunawakumbuka kwa lipi?
 
Kupata hasara sio jambo la kujisifia. Kupata hasara sio mashindano.

Kama mke wa jirani yako kaliwa juzi naww mkeo akiliwa leo na mchepuko utaleta uzi wa kumsifia hapa?

Acheni mambo ya kijinga, umaskini sio sifa.
🤣🤣🤣
 
Wanataka kumchafua mpendwa wetu JPM. Ni awamu ipi isiyo na upigaji au mapungufu? Sema level zinatofautiana

Huyu CAG alikua wapi kushauri toka awali swala kama la stand la Mbezi ndio aje aseme sasa hivi?

Okay fine. Maboresho ya shirika la Ndege la ATCL limeanza lini? Hiyo miaka mitano anayosema na hasara zilizopatikana miaka ya nyuma alishindwa nini kusema kwa uwazi kama professional yake inavyomtaka? Sio unafiki huu ni nini?

JPM ni kweli kwa baadhi ya mambo hayakua sawa. Lakini tunaona alionesha jitihada kupambana na rushwa na maadili kwa watendaji, hata Kama alikwama je? Ni kwa kiasi gani kulinganisha na wengine?

Alafu hakuna Biashara yeyote isiyo na hasara kwa Mda flani? Hasa ukizingatia na suala la covid 19 hapo kati, ni shirika gani la ndege afrika ambalo halijapata hasara?

Mara ooh ndege hazipai usiku mara sijui nini. Mbona alipofariki JPM ni ndege hizo hizo zilimbeba toka Dsm to Dodoma. Ile ilikua adhuhuri?

All in all JPM was a Hero.
 
Wewe kichwapanzi kila mtu anayepinga serikali ni Ufipa?

Unaelewa kwamba CCM ilikuja na sera ya kuuza mashirika yote yenye kuleta hasara, ikauza mpaka ambayo hayaleti hasara.

Sasa kwa nini serikali inarudi katika biashara?

Hii serikali inajua kama inataka kufanya biashara au hautaki?

Mbona kama inafanya march ya one step forward two step backwards?
 
Asingeweza kutufikisha kwa sababu alikuwa ana aproach za kibabe za kizamani kwenye utawala wake.
 
Acha ujinga wewe.
 
Ni shirika changa nakubaliana nawe, lakini, kwanini zinapigwa kelele? Ni ile tabia ya kujikweza ya Mwendazake na kuona watangulizi wake hawakufanya jambo loloye kwa taifa hili zaidi ya ufisadi.
Fuatilia history ya shirika hili toka kipindi cha Ben mpaka cha mzee wa awamu ya nne, serikali iliona "potential" katika biashra hii ndo maana ikafika maamuzi ya kulinunua shirika hili kwa asilimia mia toka " SAA", kwake yeye ilikua ni namna gani ya kujipanga shirika liende kwa faida.
Yakaanza majigambo na sanifu kumbe hata board yenyewe imetawaliwa na kanjanjaz,..so sad!!!
 
Shida ni akili kubwa ikiachia ndogo kuyaendeleza mafikira yake ndio chanzo! Vinginevyo avihusishe vichwa vingine vingi vyenye akili nyingi ili kuyapakua maono yote bila unafiki! Akiziogopa akili kubwa na kuzifungia, aibu itamkuta peke yake!
Mzigo wa fuso hauwezi kubwebwa na bajaji asilani🤔!
 
Anayetakiea kuacha ujinga ni ww the golden!
 
Watakao mkumbuka JPM ni wale tu walio nufaika na utawala wake, kama akina Bashite na Nchemba.

Mie nimkumbuke kwa lipi hasa ??
 
Shirika la ndege haliwezi kufufuliwa kwa kununua ndege kwa cash wala tatizo la ATC halikuwa kukosekana kwa ndege. Aidha, Kenya Airways sio mfano wa kutumia kabisa. Ni kama kumfuata kipofu gizani. Kununua ndege kama alivyofanya JPM ni kumimina mabilioni chooni.

Angetafuta ushauri wa wajuzi wa hiyo sekta, asingeharakisha kutoa pesa zote hizo kuwanufaisha Boeing na Airbus/Bombardier. Bila shaka wamechekelea sana.

Ethiopian Airlines huwa wanakodishwa (leased) ndege mpya kwa kuonyesha business plan na cashflows zenye mpango wa malipo. Wanatumia na kurudisha au kumalizia ununuzi wa ndege husika kutegemea na mafanikio ya kibiashara. Ni suala la kucheza na hesabu/mwenendo wa biashara. Kumiliki ndege tu bila mpango mahsusi wa kibiashara ni mzigo wenye gharama kubwa sana. Ndege hazitakiwi kulala au kupiga safari zisizo sahihi km Dreamliner kuruka safari chini ya masaa 8.

Msifieni Hayati JPM kwa mengine lakini hili la ndege ni janga kubwa ambalo Rais atasota nalo sana.
 
Tutamkumbuka kama tunavyowakumbuka Iddy Amini na Kaburu Pieter Botha wa Afrika kusini.
 
Ulisoma mpaka darasa la ngapi kwani?
Uliza America Airline hii airline moja tu ndio utajua biashara ya ndege sio kama kuuza mbuzi
 
Pole sana
 
Kumkumbuka hiyo kwiinyoo walikufa watu wangu wa karibu ye nani kama Yesu mwenyewe alikufa hata we we utakufa nyantere usiogope kufa
 
Atakumbukwa kwa mengi mabaya, watu walipotea na kunyang’anywa mali zao; tutamkumbuka kwa hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…