SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hilo halina ubishi,Idi Amini,Adolf Hitler, Stalin, Mussolini wote hawa tunawakumbuka,swali ni je tunawakumbuka kwa lipi?Shirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.
Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70.
Shirika changa la ndege la Tanzania limepata hasara ya Bil. 60 wanataka wasitishe ununuaji wa ndege.
Magufuli amekufa na ndoto yake ya kuifanya Tanzania taifa kubwa Afrika lenye uchumi mkubwa.
Hakika tutamkumbuka huyu kiongozi.