KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kwa mara ya kwanza nasikia kwamba kichaa anaweza kuacha legacy.Fikiria miaka ya nyuma kabla hayati Magufuli hajapata urais. Ilikuwa ni vurugu maana dhahabu kibao ilikuwa inatoroshwa kwenda nje
Madini kama Tanzanite ndio yaliporwa kama mtu anachora katuni
Magufuli aliwafumbua macho watanzania hasa baada ya kukamata kilo 30 za dhahab zikigoroshwa kwenda Kenya
My take: Masoko ya madini aliyoasisi JPM ni msaada mkubwa kudhibiti uhalifu
Nyerere anakumbukwa sababu alijitahidi kuficha mabaya yake hakukuwa na mitandao wala magazeti hivyo habari zake mbaya hazikupata nafasi ya kujulikana.Hayati Magufuli alifanya mengi. Muda wa kumkumbuka haujafika. Hata alipoachia ngazi, wengi hawakumkumbuka Nyerere muda mfupi tu tangiapo.
Ila baada ya waliochukua madaraka kuanza kuonyesha uchafu wao, hadi kesho Nyerere anakumbukwa si na watanzania tu bali hata dunia nzima. Tenda wema uondoke. malipo ni kwa Mungu.
ENDELEA KUOTAImepita miezi minne tokea chuma kitangulie mbele za haki huku watawala wamesahau kabisa kama kulikua na mtu anaitwa John ila umebaki ndani ya mioyo ya watanzania kama ulivosema baba tumeanza kukukumbuka.
Tanzania ni vilio kila kona hakuna aliye na tabasamu ndani ya nyuso yake maisha yanaenda kuwa magumu sana ndani ya tanzania tunakukumbuka sana baba,ulitunyima demokrasia ukatupa uzalendo na ujasiri wa kutamba mbele za watu na kusema mimi ni mtanzania na tulifanya kazi kweli hata alipokuja corona ulitupa ujasiri tukasimama imara.
Baba mimi nimeajiriwa nina makato kama yote kwenye mshahara
1. PAYE 9%
2. HESLB 15%
3. NHIF 1%
4. NSSF 10%
5. WCF
Pamoja na yote hayo baba mshahara wangu lazima upitie bank huko napo nakutana na makato kila nikitaka kutoa pesa zangu , baba yule yule waziri uliyemkataa leo hii amepewa dhamana kubwa sana na anatutesa kweli baba,
Baba huku bunge limeamua kumnyonya raia maskini aka mnyonye ambae ulipambana kuhakikisha anaishi vizuri leo eti pamoja na kulipa
1. Vat 18%
2. Transaction charge
Bado tumeanzishia kifo kipya kilichojificha ndani ya kodi ya uzalendo na kutuumiza sisi raia sisi wanyonge ambao mzigo wote tunaubeba sisi wakati wanaofanya biashara wakiachwa .
Baba leo hii bia ina thamani sana kuliko diesel na petrol - mafuta yanatumika kwenye machine mbali mbali hadi hospital na pia hata umeme unazalishwa kwa mafuta hii itasababishwa kuongezeka kwa gharama za kuishi ambazo zote izo zitamtesa raia wa chini
Baba tunakuomba uamke uje kuona haya yanayoendelea kwenye nchi uliyoipambania kwa jasho na damu
Alishindwa kuamka Nyerere kukemea usanii unaoendelea ndani ya Ccm na serikali yake !!. Ndiyo lije liamke Jiwe ?!Imepita miezi minne tokea chuma kitangulie mbele za haki huku watawala wamesahau kabisa kama kulikua na mtu anaitwa John ila umebaki ndani ya mioyo ya watanzania kama ulivosema baba tumeanza kukukumbuka.
Tanzania ni vilio kila kona hakuna aliye na tabasamu ndani ya nyuso yake maisha yanaenda kuwa magumu sana ndani ya tanzania tunakukumbuka sana baba,ulitunyima demokrasia ukatupa uzalendo na ujasiri wa kutamba mbele za watu na kusema mimi ni mtanzania na tulifanya kazi kweli hata alipokuja corona ulitupa ujasiri tukasimama imara.
Baba mimi nimeajiriwa nina makato kama yote kwenye mshahara
1. PAYE 9%
2. HESLB 15%
3. NHIF 1%
4. NSSF 10%
5. WCF
Pamoja na yote hayo baba mshahara wangu lazima upitie bank huko napo nakutana na makato kila nikitaka kutoa pesa zangu , baba yule yule waziri uliyemkataa leo hii amepewa dhamana kubwa sana na anatutesa kweli baba,
Baba huku bunge limeamua kumnyonya raia maskini aka mnyonye ambae ulipambana kuhakikisha anaishi vizuri leo eti pamoja na kulipa
1. Vat 18%
2. Transaction charge
Bado tumeanzishia kifo kipya kilichojificha ndani ya kodi ya uzalendo na kutuumiza sisi raia sisi wanyonge ambao mzigo wote tunaubeba sisi wakati wanaofanya biashara wakiachwa .
Baba leo hii bia ina thamani sana kuliko diesel na petrol - mafuta yanatumika kwenye machine mbali mbali hadi hospital na pia hata umeme unazalishwa kwa mafuta hii itasababishwa kuongezeka kwa gharama za kuishi ambazo zote izo zitamtesa raia wa chini
Baba tunakuomba uamke uje kuona haya yanayoendelea kwenye nchi uliyoipambania kwa jasho na damu
Imepita miezi minne tokea chuma kitangulie mbele za haki huku watawala wamesahau kabisa kama kulikua na mtu anaitwa John ila umebaki ndani ya mioyo ya watanzania kama ulivosema baba tumeanza kukukumbuka.
Tanzania ni vilio kila kona hakuna aliye na tabasamu ndani ya nyuso yake maisha yanaenda kuwa magumu sana ndani ya tanzania tunakukumbuka sana baba,ulitunyima demokrasia ukatupa uzalendo na ujasiri wa kutamba mbele za watu na kusema mimi ni mtanzania na tulifanya kazi kweli hata alipokuja corona ulitupa ujasiri tukasimama imara.
Baba mimi nimeajiriwa nina makato kama yote kwenye mshahara
1. PAYE 9%
2. HESLB 15%
3. NHIF 1%
4. NSSF 10%
5. WCF
Pamoja na yote hayo baba mshahara wangu lazima upitie bank huko napo nakutana na makato kila nikitaka kutoa pesa zangu , baba yule yule waziri uliyemkataa leo hii amepewa dhamana kubwa sana na anatutesa kweli baba,
Baba huku bunge limeamua kumnyonya raia maskini aka mnyonye ambae ulipambana kuhakikisha anaishi vizuri leo eti pamoja na kulipa
1. Vat 18%
2. Transaction charge
Bado tumeanzishia kifo kipya kilichojificha ndani ya kodi ya uzalendo na kutuumiza sisi raia sisi wanyonge ambao mzigo wote tunaubeba sisi wakati wanaofanya biashara wakiachwa .
Baba leo hii bia ina thamani sana kuliko diesel na petrol - mafuta yanatumika kwenye machine mbali mbali hadi hospital na pia hata umeme unazalishwa kwa mafuta hii itasababishwa kuongezeka kwa gharama za kuishi ambazo zote izo zitamtesa raia wa chini
Baba tunakuomba uamke uje kuona haya yanayoendelea kwenye nchi uliyoipambania kwa jasho na damu
Unaomba wokovu toka kwa shetani??????!!!!!!Imepita miezi minne tokea chuma kitangulie mbele za haki huku watawala wamesahau kabisa kama kulikua na mtu anaitwa John ila umebaki ndani ya mioyo ya watanzania kama ulivosema baba tumeanza kukukumbuka.
Tanzania ni vilio kila kona hakuna aliye na tabasamu ndani ya nyuso yake maisha yanaenda kuwa magumu sana ndani ya tanzania tunakukumbuka sana baba,ulitunyima demokrasia ukatupa uzalendo na ujasiri wa kutamba mbele za watu na kusema mimi ni mtanzania na tulifanya kazi kweli hata alipokuja corona ulitupa ujasiri tukasimama imara.
Baba mimi nimeajiriwa nina makato kama yote kwenye mshahara
1. PAYE 9%
2. HESLB 15%
3. NHIF 1%
4. NSSF 10%
5. WCF
Pamoja na yote hayo baba mshahara wangu lazima upitie bank huko napo nakutana na makato kila nikitaka kutoa pesa zangu , baba yule yule waziri uliyemkataa leo hii amepewa dhamana kubwa sana na anatutesa kweli baba,
Baba huku bunge limeamua kumnyonya raia maskini aka mnyonye ambae ulipambana kuhakikisha anaishi vizuri leo eti pamoja na kulipa
1. Vat 18%
2. Transaction charge
Bado tumeanzishia kifo kipya kilichojificha ndani ya kodi ya uzalendo na kutuumiza sisi raia sisi wanyonge ambao mzigo wote tunaubeba sisi wakati wanaofanya biashara wakiachwa .
Baba leo hii bia ina thamani sana kuliko diesel na petrol - mafuta yanatumika kwenye machine mbali mbali hadi hospital na pia hata umeme unazalishwa kwa mafuta hii itasababishwa kuongezeka kwa gharama za kuishi ambazo zote izo zitamtesa raia wa chini
Baba tunakuomba uamke uje kuona haya yanayoendelea kwenye nchi uliyoipambania kwa jasho na damu
Kama wewe ni mtumishi na una akili hizi, hata hiyo kodi kumbe ni ndogo. Wewe ni JUHA na hujielewi hata nukta.Imepita miezi minne tokea chuma kitangulie mbele za haki huku watawala wamesahau kabisa kama kulikua na mtu anaitwa John ila umebaki ndani ya mioyo ya watanzania kama ulivosema baba tumeanza kukukumbuka. Tanzania ni vilio kila kona hakuna aliye na tabasamu ndani ya nyuso yake maisha yanaenda kuwa magumu sana ndani ya tanzania tunakukumbuka sana baba,ulitunyima demokrasia ukatupa uzalendo na ujasiri wa kutamba mbele za watu na kusema mimi ni mtanzania na tulifanya kazi kweli hata alipokuja corona ulitupa ujasiri tukasimama imara. Baba mimi nimeajiriwa nina makato kama yote kwenye mshahara 1. PAYE 9% 2. HESLB 15% 3. NHIF 1% 4. NSSF 10% 5. WCF Pamoja na yote hayo baba mshahara wangu lazima upitie bank huko napo nakutana na makato kila nikitaka kutoa pesa zangu , baba yule yule waziri uliyemkataa leo hii amepewa dhamana kubwa sana na anatutesa kweli baba, Baba huku bunge limeamua kumnyonya raia maskini aka mnyonye ambae ulipambana kuhakikisha anaishi vizuri leo eti pamoja na kulipa 1. Vat 18% 2. Transaction charge Bado tumeanzishia kifo kipya kilichojificha ndani ya kodi ya uzalendo na kutuumiza sisi raia sisi wanyonge ambao mzigo wote tunaubeba sisi wakati wanaofanya biashara wakiachwa . Baba leo hii bia ina thamani sana kuliko diesel na petrol - mafuta yanatumika kwenye machine mbali mbali hadi hospital na pia hata umeme unazalishwa kwa mafuta hii itasababishwa kuongezeka kwa gharama za kuishi ambazo zote izo zitamtesa raia wa chini Baba tunakuomba uamke uje kuona haya yanayoendelea kwenye nchi uliyoipambania kwa jasho na damu