Ni Hilo tu. MWENDAZAKE alitumia uchawi ghani. Maana sote Ni mashahidi alifanya miradi MIKUBWA BILA kuhangaika na vikodi vidogo kwa watu wa chini. Maswala ya MBOLEA kwa mfano Ni kumnyonya maskini mkulima wa kijijini huko.

Mwendazake alikuwa bingwa dhuluma usisahau.
 
Deni la Taifa limepaa kutoka kiasi gani hadi kiasi gani?
Umelinganisha na nchi nyingine ukaona status ya kupaa kwa deni la Taifa?
Mjinga mmoja ww hujui kwamba tulikuwa tumefkia hatua hatupew mkopo bila kujadiliana na nchi za east africa kisa ukichaa wa mwendazake

Mkikosolewa mnaleta ujinga wa kujilinganisha na nchi zngn
 
Huyo huyo alikuwa anakuchapa mbele na nyuma
Dah! Hajawahi mkuu, labda aliwachapa wale wamama aliowauliza awapanue wapi, kumbe tofauti na ukichaa wake marehemu jingaman alikuwa anakula kisamvu? Doh masikini mama Janet hajapona, tuliongozwa na firauni kabisa
 
Mwendazake alikuwa mporaji tu,Aliiba pesa za watu kutoka benk,DPP alitumika Kutishia watu Ili walipe pesa.
 
Mjinga mmoja ww hujui kwamba tulikuwa tumefkia hatua hatupew mkopo bila kujadiliana na nchi za east africa kisa ukichaa wa mwendazake

Mkikosolewa mnaleta ujinga wa kujilinganisha na nchi zngn
Tuliza mapovu dogo......au anakalia kigogo weye saa hii
 
Mjinga mmoja ww hujui kwamba tulikuwa tumefkia hatua hatupew mkopo bila kujadiliana na nchi za east africa kisa ukichaa wa mwendazake

Mkikosolewa mnaleta ujinga wa kujilinganisha na nchi zngn
Huo uongo umeutoa wapi?stop being parrot
 
Kuwa Mtanzania ni kipaji, huko duniani wanatuona ni viumbe vya ajabu.
 
Alidhulumu matajiri wakwepa kodi akajenga barabara sio...

Alijikita kwenye dhuluma za aina zote kiasi aliyemrithi akapiga marufuku zikiwamo kodi za dhuluma na mahakama nayo inarudisha baadhi ya dhuluma hizo.
 
Upumbavu wake.
 
Alijikita kwenye dhuluma za aina zote kiasi aliyemrithi akapiga marufuku zikiwamo kodi za dhuluma na mahakama nayo inarudisha baadhi ya dhuluma hizo.
Sasa hv unapopigwa kwenye mitandao ya simu!!?
mafuta......
au unajitoa ufahamu
 
Sasa hv unapopigwa kwenye mitandao ya simu!!?
mafuta......
au unajitoa ufahamu
Huyu pamoja na yote ana nafuu kuliko lile jambazi sugu ambalo halikuishia kwenye pesa tu bali hata uhai wa watu.

Au wewe huku ndiyo kujitoa ufahamu sasa kuwa hujui kina Ben au kina Azory waliowahi kuwapo hapa duniani!!?
 
MWENDAZAKE alitumia uchawi gani? Maana sote Ni mashahidi alifanya miradi MIKUBWA BILA kuhangaika na vikodi vidogo kwa watu wa chini. Maswala ya MBOLEA kwa mfano Ni kumnyonya maskini mkulima wa kijijini huko.
Deni la taifa limeongezeka mara mbili kwa miaka 5 tu ya JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…