Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Alikopa trillion 23 ndani ya miaka 5,na alikuwa anapora fedha za wafanyabiashara kwenye akaunti zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yake binafsi ndio yepi!!?Maendeleo ya kwake binafsi na chato
Ni Hilo tu. MWENDAZAKE alitumia uchawi ghani. Maana sote Ni mashahidi alifanya miradi MIKUBWA BILA kuhangaika na vikodi vidogo kwa watu wa chini. Maswala ya MBOLEA kwa mfano Ni kumnyonya maskini mkulima wa kijijini huko.
Huyo huyo alikuwa anakuchapa mbele na nyumaUnamzungumzia marehmu kichaa?
Mjinga mmoja ww hujui kwamba tulikuwa tumefkia hatua hatupew mkopo bila kujadiliana na nchi za east africa kisa ukichaa wa mwendazakeDeni la Taifa limepaa kutoka kiasi gani hadi kiasi gani?
Umelinganisha na nchi nyingine ukaona status ya kupaa kwa deni la Taifa?
Alidhulumu matajiri wakwepa kodi akajenga barabara sio...Mwendazake alikuwa bingwa dhuluma usisahau.
Dah! Hajawahi mkuu, labda aliwachapa wale wamama aliowauliza awapanue wapi, kumbe tofauti na ukichaa wake marehemu jingaman alikuwa anakula kisamvu? Doh masikini mama Janet hajapona, tuliongozwa na firauni kabisaHuyo huyo alikuwa anakuchapa mbele na nyuma
Tuliza mapovu dogo......au anakalia kigogo weye saa hiiMjinga mmoja ww hujui kwamba tulikuwa tumefkia hatua hatupew mkopo bila kujadiliana na nchi za east africa kisa ukichaa wa mwendazake
Mkikosolewa mnaleta ujinga wa kujilinganisha na nchi zngn
Huo uongo umeutoa wapi?stop being parrotMjinga mmoja ww hujui kwamba tulikuwa tumefkia hatua hatupew mkopo bila kujadiliana na nchi za east africa kisa ukichaa wa mwendazake
Mkikosolewa mnaleta ujinga wa kujilinganisha na nchi zngn
Alidhulumu matajiri wakwepa kodi akajenga barabara sio...
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Sasa hv unapopigwa kwenye mitandao ya simu!!?Alijikita kwenye dhuluma za aina zote kiasi aliyemrithi akapiga marufuku zikiwamo kodi za dhuluma na mahakama nayo inarudisha baadhi ya dhuluma hizo.
Wewe ni nyooko, puumbavu kabisa.Hatuna cha kujivunia zaidi ya kumwombea Kwa MUNGU amsamehe kwa Mengi Mabaya aliyotutendea na Machache Mazuri
Huyu pamoja na yote ana nafuu kuliko lile jambazi sugu ambalo halikuishia kwenye pesa tu bali hata uhai wa watu.Sasa hv unapopigwa kwenye mitandao ya simu!!?
mafuta......
au unajitoa ufahamu
Deni la taifa limeongezeka mara mbili kwa miaka 5 tu ya JPMMWENDAZAKE alitumia uchawi gani? Maana sote Ni mashahidi alifanya miradi MIKUBWA BILA kuhangaika na vikodi vidogo kwa watu wa chini. Maswala ya MBOLEA kwa mfano Ni kumnyonya maskini mkulima wa kijijini huko.