Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]Utawala wake uliniathiri kiasi Fulani,ila jambo moja alilokuwa ananifurahisha ni kuwakomesha wahindi kumzoea kingese.
Wahindi nadhani huko waliko Leo kila nyumba kunapikwa kachori na kucheza kuchukuchu hotae.
Kikwete aliacha sh3000= kwa mwananchi kulipia kupita kwa usafiri wa basi Ngorongoro na Serengeti kama sisi kwetu Tarime, leo Magufuli kaacha 18000\= kwa mwananchi kupita mbugani kama unaenda huko kwenu, kwa kigezo kuwa unafanya utalii wa ndani haya kama unaenda msibani.Kikwete alikuta bia 500 mpaka anaondoka akaacha 2500.
Magufuli alikuta bia 2500 mpaka anakufa kaacha 1800,hili wengi hawalioni kabisa.
Sikuwahi kupanda treni toka nizaliwe ila mwaka 2020 nimepanda Deluxe kwenda Moshi,hili umuhimu wake utaonekana baada ya treni kufa na kuanza nauli za 80k kwenda Moshi.
Kabla ya 2015 ilikua ni kawaida kusikia matukio ya ujambazi tena karibu na vituo vya polisi,ila toka 2015 mpaka sasa sijaskia jambazi aliesalimika kwenye ujambazi,na matukio yamekuwa machache sana.
Wahindi sio watu kabisa, hata kama mpo hapa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
We huwapendi wahindi
Hovyo.2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
Risasi 32 alizopigwa Tundu lisu bado zimenikaa kwenye akili yangu kila nikilikumbuka lile tukio nafika mbali sana na kujiuliza ni baba gani anaweza kumfanyia mwanae hata kama ni mtoto wa kambo (upinzani) that not humanity but all i can say neda zako magufuli umeumaliza mwendo over!!!!!!!!!Kwa kumpoteza Ben Saanane.
Kitendo chake cha kwenda kuwona Tundu Nrb ni ishara tosha kuwa she willNamuomba Mwenyezi Mungu ampe hekima Mama atukuze na kujenga udugu kwa Watanzania.
Duuuu pole kwa kufiwa mkuu ,punguza hasiraaLabda hayo mambo alikufanyia kipekee wewe na familia yako ndio maana unashindwa kuyataja,lakini ukija kwa Taifa huyu mtu alikuwa Kirusi cha umoja na mshikamano wa Taifa letu,na hata kama kuna machache aliyofanya alifanya kwa faida yake binafsi na kikundi chake kichomzunguka. Huyu ni Sadist, alifurahia maumivu na mateso ya wengi. Aende Jehanamu.
Tena Mwana Sayansi ulie soma vyema na Phd juu!!! unapinga uchunguzi wa kisayansi kweli???? sasa asiye mwana sayansi je?? Alielewa anachofanya shuleni au alikuwa anaibia kwa wenzake na kukariri kariri tu! bora apite mitihani tu aende zake!! ... yaani!!! kayumbishwa na kina gwajima sasa hivi wako wapi!Hovyo.
Sio kufuata mkumbo kama ulivyoliweka hapa.
Huu ni udhaifu mkubwa sana aliouonyesha, pengine unaokaribiana na uvunjaji wa HAKI.
Wafanyakazi hewa + Vyeti feki. Ila ninampongeza kwa kuleta nidhamu serikalini na kuwakomesha wauza sembe.
Mungu ni mkali balaa.Yaani speechless [emoji55]