Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Kwa hio alilinda watu wasiue albino, halafu yeye akaanza kuua wasio na hatia Kama akina Ben na azory gwanda?
Aungue pabaya motoni
 
Moja ya jambo ambalo Albino wanamkumbuka hayati JPM ni ulinzi wa Maisha yao na nafasi waliozipata wakati wa uongozi wake.

Ni hadhiri wanaomba haya mambo yaendelezwe. Na Zaidi watengewe bajeti kwa ajili ya ulinzi wa Ngozi zao.

Albino chini ya jemedari JPM aliishi kwa Amani bila mauwaji wala mateso.

Ni hayo tu.
Anti English kaondoka harudi tenaaaaaaaaaa!
 
Hili halina ubishi wakuu atakayebisha basi either ana upungufu wa akili.

Kipindi cha JPM ndicho tulicho shuhudia watoto wawanyonge wanashika UDC, URC na Ukurugenzi.

Lakini pia tulishudia watoto wawanyonge wanaajiriwa

TANROADS, TANESCO, TRA, TPDC, EWURA, TBA, n.k.

Kwa kifupi kabla ya hapo mtoto wa mnyonge asingeweza kupenya katika sehemu hizo.
 
Tulikumbuke garassa sisi😀😀😀😀

#MayMos
 
Hili halina ubishi wakuu atakaye bisha basi either ana upungufu wa akili.
Kipindi cha JPM ndicho tulicho shuhudia watoto wawanyonge
wanashika UDC, URC na Ukurugenzi.

Lakini pia tulishudia watoto wawanyonge wanaajiriwa
TANROADS, TANESCO, TRA, TPDC, EWURA, TBA, n.k.

Kwa kifupi kabla ya hapo mtoto wa mnyonge asingeweza kupenya katika sehemu hizo.
Si kweli.

Baba yangu mtoto wa "wanyonge" (wazazi wake hawakuwa na political connections) na kaanza Ukurugenzi sehemu nyeti tangu 1980.

Kwa uzito wa usomi wake na kazi alizofanya.
 
Damn!

Privileged brat!

Wewe si mtoto wa mnyonge😁.
 
Hili halina ubishi wakuu atakaye bisha basi either ana upungufu wa akili.
Kipindi cha JPM ndicho tulicho shuhudia watoto wawanyonge
wanashika UDC, URC na Ukurugenzi.

Lakini pia tulishudia watoto wawanyonge wanaajiriwa
TANROADS, TANESCO, TRA, TPDC, EWURA, TBA, n.k.

Kwa kifupi kabla ya hapo mtoto wa mnyonge asingeweza kupenya katika sehemu hizo.
Mkuu una umri gani....
 
Back
Top Bottom