Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HujitambuiIla Magufuli alikuwa muongo jamani
Acha uongo...we jamaa Unatumia nguvu nyingi kuleta porojo ..zitumie hizo nguvu kulima...HAKIKA NJAA KALI YAJALeo kijiweni katika hali ya kushangaza mzee mmoja ambaye alikuwa akipingana sana na utawala wa hayati. Amedondosha machozi na kumuomba hayati amsamehe.
Mzee huyu ni kada wa kutupwa wa chama ambacho chairman wake yuko ndani sasa. Siku za nyuma hapa kijiweni alikuwa akiponda kila alichofanya hayati ila leo amebadili gia anasema "HAKIKA MTU YULE ALIKUWA MWEMA"
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Tena Bila kupepesa machoIla Magufuli alikuwa muongo jamani
Matokeo tungeyaona kama angeendelea kuongoza, miradi mingi huoni faida mwanzoni. Wengi waliopita wameiba, mpaka wajukuu zao hawatafaidika. Kuhusu democracy, ilibidi iwe vile, it was a u turn for tanzania. Nchi ilikuwa inaenda kaskazini ( kutegemea misaada tuu) akaipindisha kusini, ili tujitegemee wenyewe, nchi yetu ni tajiri.Magufuli nakataaa. Mjamaa alitengeneza chuki baina ya watz. Miladi aliyoifanya na deni alilolitengeneza wala hayaendani. Jiwe ametuachia msala wa madeni makubwa
[emoji23][emoji23]Covid nayo imeupiga mwingi hadi.........
Ohoooo mshaanza sas[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Covid nayo imeupiga mwingi hadi.........
Mengine km yepi???Kusimamia nidhamu serikalini na kwenye corona alikuwa vizuri Ila mengine ilikuwa ugoro mtupu