Mtu Kwao
JF-Expert Member
- Sep 2, 2019
- 394
- 720
Salam!
Hakika kila zama na kitabu chake.
Ikiwa ni mwaka Sasa tangu kifo Cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 ukweli nikuwa jina lake limegoma kabisa kufutika akili mwa watanzania wengi. Wapo ambao kwa namna moja ama nyingine utawala wa Magufuli uliwagusa wenda kwa mema ama mabaya
( japo hayo mabaya ilikuwa nikatika kuelekea mahali pazuri kwani ata chuma hadu kipatikane hupita kwenye joto kali sana)
Yafatayo ni makundi ya watu ambao ata ufanyaje kamwe yataona mabaya tu ya JPM.
1. Vyeti feki asee ata Mimi ningemchukia daima
2. Wale walikuwa wakiratibu watumishi hewa
3. Wauza madawa ya kulevya
4. Mafisadi wapiga dili
5. Wapinzani waliozoea vya ikulu
6. Waliozoea kula Bata kwa pesa za mlipa Kodi
7. Wa kwepa kulipa Kodi
8. Wahujumu uuhujumu uchumi
9. Matajari waliozoea kunyanyasa watu kwa nguvu ya pesa waliokuwa nayo
10. Walioguswa na watu wasiojulikana
Na mengine Mengi
RIP JPM