Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Salam!

Hakika kila zama na kitabu chake.

Ikiwa ni mwaka Sasa tangu kifo Cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 ukweli nikuwa jina lake limegoma kabisa kufutika akili mwa watanzania wengi. Wapo ambao kwa namna moja ama nyingine utawala wa Magufuli uliwagusa wenda kwa mema ama mabaya
( japo hayo mabaya ilikuwa nikatika kuelekea mahali pazuri kwani ata chuma hadu kipatikane hupita kwenye joto kali sana)
Yafatayo ni makundi ya watu ambao ata ufanyaje kamwe yataona mabaya tu ya JPM.

1. Vyeti feki asee ata Mimi ningemchukia daima
2. Wale walikuwa wakiratibu watumishi hewa
3. Wauza madawa ya kulevya
4. Mafisadi wapiga dili
5. Wapinzani waliozoea vya ikulu
6. Waliozoea kula Bata kwa pesa za mlipa Kodi
7. Wa kwepa kulipa Kodi
8. Wahujumu uuhujumu uchumi
9. Matajari waliozoea kunyanyasa watu kwa nguvu ya pesa waliokuwa nayo
10. Walioguswa na watu wasiojulikana

Na mengine Mengi

RIP JPM
 
Unautani na mbowe..
 
Wananchi wengi ambao ni wa kawaida wana mmisi sana Magufuli.
Bahati mbaya mafisadi na wanasiasa uchwara ambao bahati mbaya tena ndiyo wanacontrol habari wanalazimisha picha ya kuto mmisi au kujenga chuki kwa Magufuli.

Ujiulizi kwa nini mpaka leo hii zaidi yanmiezi 10 toka amefariki bado kuna kampeni kubwa ya kumchafua? Watu wanaacha kujadili mambo muhimu yanayojiri wanatumia pesa kuset agenda za kumchafua au kumdogosha magufuli.

Kama watu hawa mmisi kwa nini kila siku mnatunga ’visred’ vya kumchafua? Sababu mnajua moto wake haupoi, na amekaa kwenye roho za walio wengi, hivyo bajeti kubwa na nguvu kubwa hadi leo zinaelekezwa kwenye project chafua Magufuli.

Na hii ni sababu mnajua you cannot do better than him, kwa hiyo pona yenu mnafikiria ni kuchanganya uelewa wa wananchi juu ya Magufuli.

Matatizo yote ambayo Magu aliyamudu yanaibuka lakini yanapambwa kwenye media kama hayapo vile au yanastahili kuwapo! Badala ya kupigia kelele haya wafitini wanaendeleza kumchafua Magu!
  • Mgao wa umeme umerudi, gharama za kuunganisha umeme juu
  • Bei za bidhaa zimepanda kwa kasi ya ajabu, hakuna anayejikuna. Wananchi wa kawaida wanalalamika sana, lakini vyombo vya habari kwao siyo news sababu ”who pays the piper calls the tune”
  • Ubovu wa huduma za kijamii na kutojali wananchi kunarejea
  • na mengine mengi!
Huo ndio ukweli,wako bize kupambana na mtu alielala kuzimu,lkn jpm atabaki kuwa kielelzo cha ushipavu wa kiongoz na kujali,
 
Salam!

Hakika kila zama na kitabu chake.

Ikiwa ni mwaka Sasa tangu kifo Cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 ukweli nikuwa jina lake limegoma kabisa kufutika akili mwa watanzania wengi. Wapo ambao kwa namna moja ama nyingine utawala wa Magufuli uliwagusa wenda kwa mema ama mabaya
( japo hayo mabaya ilikuwa nikatika kuelekea mahali pazuri kwani ata chuma hadu kipatikane hupita kwenye joto kali sana)
Yafatayo ni makundi ya watu ambao ata ufanyaje kamwe yataona mabaya tu ya JPM.

1. Vyeti feki asee ata Mimi ningemchukia daima
2. Wale walikuwa wakiratibu watumishi hewa
3. Wauza madawa ya kulevya
4. Mafisadi wapiga dili
5. Wapinzani waliozoea vya ikulu
6. Waliozoea kula Bata kwa pesa za mlipa Kodi
7. Wa kwepa kulipa Kodi
8. Wahujumu uuhujumu uchumi
9. Matajari waliozoea kunyanyasa watu kwa nguvu ya pesa waliokuwa nayo
10. Walioguswa na watu wasiojulikana

Na mengine Mengi

RIP JPM
Makondakta alipata F 12 Div 0 forged certificate ya chuo cha uvuvi, forged certificate ya chuo kikuu lakini wakati wa jiwe hakuguswa na akapewa u rc. Mungu Fundi.
 
Mpaka leo mmeshindwa kudhibitidha ilo
 
Kubwa kuliko yote yaliyotajwa ni kubadilisha matokeo ya Uchaguzi kwa nchi nzima kuanzia Uraisi hadi viti vya wajumbe.
Haijawahi kutokea Dunia nzima isipokuwa hapa Tz na uchaguzi ukatambuliwa na Mataifa yote wakati wote walijua hila alizotumia.
Hongera Magu mueleze Mungu kwa nini ulifanya vile na watu wakauliwa pemba.
 
Sina uhakika, ila nina imani kuna namna Rais Magufuli angetuvusha kwenye ili swala la upandaji wa mafuta, na gharama za maisha haswa kwa Mtanzania wa kipato cha chini.
 
Kuna kakundi kameibuka kujifanya ooo tu namkumbuka Magufuli …
Hapa kinachooneka ni kwa lile kundi lililokuwa linanufaika na uwepo wa Marehemu madarakani ambalo kwa Sasa wanaona hawana chao na hawana uhakika wa kesho yao. Hawa ndio wanaopiga kelele kutaka legacy ya Marehemu iendelee.

Lakini hata huyu Marehemu alikuwa na mapungufu yake makubwa sana.

2. Alijiamini kwamba nchi itakwenda kwa uwepo wake yeye badala ya kujenga mfumo Imara wa taasisi za kiutawala za nchi

2. Alikuwa na makundi yake Maalum ambayo yalikuwa hayagusiki haya kama yalikuwa yanaenda kinyume na Sheria (Bashite, Sabaya etc)

3. Aliamini kwenye udikteta na ukandamizaji wa wapinzani wake hivyo kubana Uhuru wa kuendesha siasa nchini

4. Alikuwa na UKANDA(Nepotism) iliyofanya mgawanyo wa rasilimali kutokuwa sawa kwenye sehemu mbalimbali nchini (Chato ni mfano wa wazi)
5. Alikandamiza haki za msingi za watumishi wa umma ikiwemo nyongeza za mishahara na marupurupu mengine halali (Annual salary increment, Allowances, madarajaa etc). Hii ilipelekea kuporomoka kwa morali kwa wafanyakazi.
6. Kutokutengeneza ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu ambapo hadi Sasa Kuna maelfu wa wahitimu wa vyuo vikuu wasio na ajira mitaani.

7.Aliwadharau waliomtangulia na kuwatumia akina Musiba kuwakashfu.

8. Matumizi ya pesa Za nchi bila Utaratibu..

Kwahiyo ili tuweze kutoka kwenye mkwamo huu tulionao lazima tuwe wakweli wa kujadiliana kwa wazi bila kuwa na upande.

Mwendazake hakuwa Mungu Kama baadhi walivyoamini na madhaifu yake lazima tuyajue tusirudi huko tena

TUWEKE MIFUMO SAHIHI YA KUONGOZA NCHI SI KUWEKA MTU KAMA MUNGU MTU

Britanicca
 
[emoji38][emoji38][emoji1]
 
nawakumbusha tuu ni mwaka 1 na siku kadhaa zimepita toka jpm afariki

na mlivo pumbafu hamtakoma kutuletea story zake!!
 
Ngoja waje uone watakavyo bweka.

Binafsi naomba tu ifike 2025, CCM ikabidhi Nchi kwa wengine. Enough is enough.
 
Huyu JPM aliwatukana na kuwakashifu wenzake kwamba waliwaibia sana watanzania l, na akafikia hatua ya kusema wastaafu "wanawashwawashwa" wakae kimya.

Leo ananyweshwa kikombe alichowanywesha wenzake, anataka mama amtetee, mama SSH usihangaike kumtetea huyo, matendo yake yamuhukumu.

Nani hakumsikia Musiba? Polepole?
 
Back
Top Bottom