chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Abebe mzigo wake
Biblia inasemaje kuhusu kubeba mizigo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biblia inasemaje kuhusu kubeba mizigo..
We jamaa kama Kunguni umewasagia kweli kweli.Huyu JPM aliwatukana na kuwakashifu wenzake kwamba waliwaibia sana watanzania l, na akafikia hatua ya kusema wastaafu "wanawashwawashwa" wakae kimya.
Leo ananyweshwa kikombe alichowanywesha wenzake, anataka mama amtetee, mama SSH usihangaike kumtetea huyo, matendo yake yamuhukumu.
Nani hakumsikia Musiba? Polepole?
Kila mtu ataubeba mzigo wake mwnyeweBiblia inasemaje kuhusu kubeba mizigo..
Kabisa aiseeKa magu kajanja sana kalipunguza idadi ya mafisadi kakabaki kenyewe,familia katakuwa kameiachia pesa ambayo haihesabiki
Nazan mlioona jinsi vijana wake walivyokuwa wamefuka na sasa jinsi mkewe alivyofumuka anakula tu maisha bila stress
.Kila mtu ataubeba mzigo wake mwnyewe
Kwamba kila mmoja atakula alipopeleka mboga 😂😂😂🙌🙌Huyu JPM aliwatukana na kuwakashifu wenzake kwamba waliwaibia sana watanzania l, na akafikia hatua ya kusema wastaafu "wanawashwawashwa" wakae kimya.
Leo ananyweshwa kikombe alichowanywesha wenzake, anataka mama amtetee, mama SSH usihangaike kumtetea huyo, matendo yake yamuhukumu.
Nani hakumsikia Musiba? Polepole?
Wewe mwenyewe ndio haujielewi!
Kuwa na subira ndugu, hofu ya nini?... kuna chama limeanzishwa eti linatumia picha ya yule marehemu! Vichekesho kweli kweli; hata ya "Mwenye Heri" haikuwahi kutumika sembuse ya yule! Kwa matumizi ya picha la yule dhalimu tayari wamefeli kabla hawajaanza.