Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Huyu JPM aliwatukana na kuwakashifu wenzake kwamba waliwaibia sana watanzania l, na akafikia hatua ya kusema wastaafu "wanawashwawashwa" wakae kimya.

Leo ananyweshwa kikombe alichowanywesha wenzake, anataka mama amtetee, mama SSH usihangaike kumtetea huyo, matendo yake yamuhukumu.

Nani hakumsikia Musiba? Polepole?
We jamaa kama Kunguni umewasagia kweli kweli.

Pasaka hii hawana hamu.🤣🤣🤣
 
Ka magu kajanja sana kalipunguza idadi ya mafisadi kakabaki kenyewe,familia katakuwa kameiachia pesa ambayo haihesabiki

Nazan mlioona jinsi vijana wake walivyokuwa wamefuka na sasa jinsi mkewe alivyofumuka anakula tu maisha bila stress
 
Kabisa aisee
 
kwny uzinduzi wa Bunge la 2015-2020 JPM alituhumu Serikali ya JK ilikuwa ina miradi hewa ya Barabara wakati yeye ndie alikuwa Waziri wa Ujenzi

Jk hakondi kwa kuitwa Mwizi au Fisadi kwa kuwa aliruhusu kuitwa hayo majina akiwa Rais na Amiri jeshi
 
Daah hayati JPM kweli ni moto, bado anaendelea kuwatesa walio-hai
 
Huyu JPM aliwatukana na kuwakashifu wenzake kwamba waliwaibia sana watanzania l, na akafikia hatua ya kusema wastaafu "wanawashwawashwa" wakae kimya.

Leo ananyweshwa kikombe alichowanywesha wenzake, anataka mama amtetee, mama SSH usihangaike kumtetea huyo, matendo yake yamuhukumu.

Nani hakumsikia Musiba? Polepole?
Kwamba kila mmoja atakula alipopeleka mboga 😂😂😂🙌🙌
 
Hivi mnataka turudi kule kule?
Kutekana? Kupotea? Wafanyakazi kukaa miaka saba bila nyongeza Wala kupanda madaraja?
Mnataka turudi kwenye nchi ya Chama kimoja Tena?

Kule kwa wakuu wa mikoa na wilaya kujifanya miungu watu?
Mnataka turudi kule jamani?
Mpo serious??
Halafu mbona kama hamtaki kukubali kuwa Bwana ametoa Bwana ametwaa?
Tuendelee na maisha mapya Mungu sio Mungu wa Wafu! Ni Mungu wa sisi tulio hai sasa hivi...
Yaliyopita yamepita!

Luka 20:38
Naye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai; kwa kuwa wote huishi kwake.
For he is not a God of the dead, but of the living: for all live unto him.

downloadfile-4(1).jpg
 
Yupo wapi sasa na ubabe wake yupo wapi?
Ee tuambizane Yupo wapi

Mathayo 2:19-20

Baada ya Herode kufa, malaika wa Bwana akamtokea Yosefu katika ndoto huko Misri

20 kusema, “Ondoka, mchukue mtoto na mama yake mwende, mrudi katika nchi ya Israeli kwa sababu wale waliokuwa wanatafuta uhai wa mtoto wamekufa.”
 
... kuna chama limeanzishwa eti linatumia picha ya yule marehemu! Vichekesho kweli kweli; hata ya "Mwenye Heri" haikuwahi kutumika sembuse ya yule! Kwa matumizi ya picha la yule dhalimu tayari wamefeli kabla hawajaanza.
 
hiki chama kilikuwa kama cha mlema,zito na wengine wengi na kesho kitakuwa cha mama mirabahaa ya pwani
 
Mimi sinashida na Magufuli.

Shida yangi ni report ya CAG inaonekana Magufuli alitupiga sana

Hembu tuijadili report sio Individual haisadii maendeleo ya taifa
 
... kuna chama limeanzishwa eti linatumia picha ya yule marehemu! Vichekesho kweli kweli; hata ya "Mwenye Heri" haikuwahi kutumika sembuse ya yule! Kwa matumizi ya picha la yule dhalimu tayari wamefeli kabla hawajaanza.
Kuwa na subira ndugu, hofu ya nini?
 
Ni wajinga pekee mnaolazimisha watu wasipende falsafa za JPM

Mnalazimisha mawazo yenu yapite ya kwenu, ninyi ni kina Nani?

Ukiona watu weengi wanatetea Umagufuli, ujue aligusa hisia zao, huwezi kuwalazimisha wasipende kile amewafanyia

Sasa kazi kwenu nyinyi mambugila kunywa sumu ili msione tena jina la Hayati JPM likiendelea kupata watetezi
 
Back
Top Bottom