Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Kuna watu hawajui majukumu ya Raisi, Waziri, taasisi husika(Tanroads) or Mkandarasi...
wanatoa lawama utadhani yy ndo alikua Fundi, Engineer, Supervisor, Site manager, Project manager, Quality manager or Consultant.
Wanahisi kujenga barabara or daraja ni km kufasakafia vyoo vyao vya shimo kwamba kila kitu ni mtu mmoja anafanya.
Kuna haja ya JF kuanza kuchuja members wake, limeibuka wimbi kubwa sana la vilaza, wanakurupuka kunzisha nyuzi zisizokua na kichwa wala miguu kwakua tu wana bundle.
Wao wanazani Ujenzi unafanywa Kwa matamko, hafu unakuta mtu ni msomi na Digrii zake anakomaa na Waziri badala ya kulaumi taasisi kusika inayosimamia, hata haya mambo ya hati chafu au wizi wa Fedha za umma unakuta watu wanakomaa na Rais, Waziri badala ya kumulika wataalam waliosababisha
 
Huyu Jamaa wa kanda ya ziwa kwa jinsi alivyojenga madaraja yaliyo chini ya viwango na Bado mnataka legacy gani

Yaani watu ambao mmezaliwa Tz bila hata kwenda nje mnaweza mkaamini kuwa Legacy Ni madaraja tu.
🤣🤣🤣wacha nicheke tu
 
Ni kuweka infrastructure za chini vizuri kabla hujaweka structures za juu, maji yakija yanaenda wapi, mafuriko, mvua ni sehemu zipi zinaathiriwa zaidi mvua zikija na structures zipi ziwekwe kutokana na haya mazingira....mwacheni baba wa watu apumzike jamani
 
Wao wanazani Ujenzi unafanywa Kwa matamko, hafu unakuta mtu ni msomi na Digrii zake anakomaa na Waziri badala ya kulaumi taasisi kusika inayosimamia, hata haya mambo ya hati chafu au wizi wa Fedha za umma unakuta watu wanakomaa na Rais, Waziri badala ya kumulika wataalam waliosababisha
Hii inchi ina tatzo kubwa sana la Elimu.
Kuna watu uelewa wao ni mdogo sana na hawa ndio wanaojifanya much know kumbe kichwani weupe tu.
 
Wanahangaika kuliko kawaida.

Sijui huwa wanatokewa na mzimu wa Magufuli?

Hii ni mara yangu ya kwanza kuona watu wanapigana na kaburi! Mweeeh!!

Yule jamaa ni kiboko! Kwa kweli. Sijui aliwafanya nini hawa majizi!? Manake kwanza hapo nicheke!
Ukiboko wake uko wapi? Mbona kafa na kamasi za corona?? Sisi tulio hai ndiyo miamba hasa, katufanyia kila Hila kuanzia kututeka, kuua, kunyang'anya fedha zetu lakini bado tunadunda. Yeye huyo aoza kaburini Chato
 
Jipige kifuani mara saba ukisema "mimi ni mpumbavu" itakusaidia sana kurudisha akili sawa na kutambua kuwa unapambana na marehemu.
 
Ukiboko wake uko wapi? Mbona kafa na kamasi za corona?? Sisi tulio hai ndiyo miamba hasa, katufanyia kila Hila kuanzia kututeka, kuua, kunyang'anya fedha zetu lakini bado tunadunda. Yeye huyo aoza kaburini Chato
Mkuu wewe ni mwamba Sana ,,hakika utaishi milele ulinde dunia.

Hongera sn
 
Ninajuwa nitakufa, haina ubishi. Lakini kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wake

Hicho ndicho kinatufurahisha
 
Huyu Jamaa wa kanda ya ziwa kwa jinsi alivyojenga madaraja yaliyo chini ya viwango na Bado mnataka legacy gani

Yaani watu ambao mmezaliwa Tz bila hata kwenda nje mnaweza mkaamini kuwa Legacy Ni madaraja tu.
Na bado,amewapelemba angali yu hai na sasa anawapelemba akiwa kaburini.

MAGUFULI mimi ni mfuasi wako daima
 
Ninajuwa nitakufa, haina ubishi. Lakini kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wake

Hicho ndicho kinatufurahisha
Weka ushahidi wa hayo unayodai mmetendewa na MAGUFULI
 
Ninajuwa nitakufa, haina ubishi. Lakini kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wake

Hicho ndicho kinatufurahisha
Alikuibia uchaguzi uligombea Jimbo gani?

Unashangilia mwenzio kufa tena kifo cha kitandani,,

Hivi kifo chako unakijuwa ni cha aina gani?
Alitaka mfe kwa kupigwa risasi akina Nani?
Wacha ushabiki wa sokoni mkuu.
 
Ukiboko wake uko wapi? Mbona kafa na kamasi za corona?? Sisi tulio hai ndiyo miamba hasa, katufanyia kila Hila kuanzia kututeka, kuua, kunyang'anya fedha zetu lakini bado tunadunda. Yeye huyo aoza kaburini Chato
Matako wewe na wewe kesho unakufa kwa kuvimbiwa makande.
 
Mimi ndo first time kusikia Mtu anaacha urithi wa madaraja Mabovu Aibu kubwa
Hawaelewi maana ya legacy. Alishabikiwa na low minds. Na ndio hao hao ambao hawaelewi hata maana ya legacy. Daraja, barabara hata majengo, haviwezi kuwa legacy.
 
Mafisadi mmepata chaka lingine la propaganda.

Mbona mama yenu hajajenga hata banda la kuku anazurura tu kwa mabeberu akigawa uroda kwa Peter Greenbird sijui Greenburg!
Watu wenye akili ndogo kama huyu ndio walikuwa mali ya Magufuli. Hawa walilishwa ujinga na uwongo, mpaka wakageuka na kuwa wendawazimu.
 
Wanahangaika kuliko kawaida.

Sijui huwa wanatokewa na mzimu wa Magufuli?

Hii ni mara yangu ya kwanza kuona watu wanapigana na kaburi! Mweeeh!!

Yule jamaa ni kiboko! Kwa kweli. Sijui aliwafanya nini hawa majizi!? Manake kwanza hapo nicheke!
Lakini hajamfikia Hitler, Stallin, Musollin, Bokasa na Nguema, maana hawa madikteta wenzie walitawala miaka zaidi ya 50 iliyopita lakini wanatajwa kila siku kwa ubaya wao.

Labda uovu wake utakapowekwa wazi, ataweza kuwashinda baadhi madikteta wenzie, kama Id Amin na akina Seseseko Mobutu wa Zabanga wa Zaire.
 
Alikuibia uchaguzi uligombea Jimbo gani?

Unashangilia mwenzio kufa tena kifo cha kitandani,,

Hivi kifo chako unakijuwa ni cha aina gani?
Alitaka mfe kwa kupigwa risasi akina Nani?
Wacha ushabiki wa sokoni mkuu.
Amekufa kifo cha kitandani? Kama hujui Kaa kimya. Magufuli kuanzia 1992 alikuwa anapumua kwa betri (defibrillator), pili aliukwaa UKIMWI miaka ya mwisho wa 1990s.

Kama ulimuona vizuri kipindi cha kampeni alikuwa anawekewa Air Conditioner kwenye mikutano ya kampeni (ukibisha picha zipo).

Halafu ule mwezi wa mwisho alikuwa anatembea na catheter (kifaa cha kuunganisha mirija ya sindano za drip)

Yule alikuwa ni walking carcass tu
 
Huyu Jamaa wa kanda ya ziwa kwa jinsi alivyojenga madaraja yaliyo chini ya viwango na Bado mnataka legacy gani

Yaani watu ambao mmezaliwa Tz bila hata kwenda nje mnaweza mkaamini kuwa Legacy Ni madaraja tu.
Legacy ya kuua waliompinga ipo motoni huko alipo muda huu
 
Back
Top Bottom