Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Wao wanazani Ujenzi unafanywa Kwa matamko, hafu unakuta mtu ni msomi na Digrii zake anakomaa na Waziri badala ya kulaumi taasisi kusika inayosimamia, hata haya mambo ya hati chafu au wizi wa Fedha za umma unakuta watu wanakomaa na Rais, Waziri badala ya kumulika wataalam waliosababishaKuna watu hawajui majukumu ya Raisi, Waziri, taasisi husika(Tanroads) or Mkandarasi...
wanatoa lawama utadhani yy ndo alikua Fundi, Engineer, Supervisor, Site manager, Project manager, Quality manager or Consultant.
Wanahisi kujenga barabara or daraja ni km kufasakafia vyoo vyao vya shimo kwamba kila kitu ni mtu mmoja anafanya.
Kuna haja ya JF kuanza kuchuja members wake, limeibuka wimbi kubwa sana la vilaza, wanakurupuka kunzisha nyuzi zisizokua na kichwa wala miguu kwakua tu wana bundle.