Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Mzee hiyo inaitwa Fraha baada ya kazi ,huwezi kupata maisha poa ya viongozi kama wakati wa mzee JPM,wanafanya kwa kujituma na na heshima uku uzalendo mbele hata kama hautaki .
Hawamu hii tumejaziwa majizi tu yanawaza kuiba tu kuhusu uzalendo hayana kabsaa...Inawezekana na ww ni mteule wa hawamu hii.
Hakuna wizi mkubwa uliwahi kufanyika zaidi ya 1.5 trillion
 
Kama kuna vigezo vya uchawa utakuwa umevitimiza vyote na kupitiliza kwa Mbowe and the company.
Mimi ni capitalist I just look for my interests siwezi kuwa chawa.
Wewe ni CHAWA na utaendelea kuteseka sana hasa baada ya kuachwa yatima na Jiwe
 
Ni mda sasa nnachoona Ni machawa wanakua wengi kupita kawaida na kauli mbiu yao ya "anaupiga mwingi" alaf sielewi Ni kwenye nini. Ni upuuzi wa kiwango cha flyover....ivi... Are they even real people!?
Kama kina Musiba na &Co walikuwa wana abudu na kutukuza hadi kufikia kumuita binadamu mwenzao kuwa ni YESU unashangaa kitu gani leo watu kujiita chawa?
 
Kiongozi hawezi kuachwa Hitler siunaona hili ni fundisho ukiwa kiongozi utende mema,si kila siku mnammwagia misifa hapa asiekuwa nayo...na aliekudanya kuna kupumzika huko ni nani???
Hajui kuwa huko unaishi kulingana na matendo yako uliyoyafanya ukiwa duniani.
 
Back
Top Bottom