Natamani wote tuwe wezi. Mwizi mkubwa, kapeleka Mji Mkuu Dodoma, kawaibia Wagogo. Mwizi huyu, jambazi mkubwa, kaiba makanikia yetu kawanyanganya mabeberu waliokuwa wanatetewa na Lawyers mabilionea fatmakarume na tundulissu. Mwizi mkubwa kajenga Airport moja kwao, kwa CHADEMA walishaiba tayari wana Airport 3. Mwizi mkubwa, kajenga hospitali ya rufaa kwao na Lindi na Singida kuhudumia watu milioni 10, kwao CHADEMA wako milioni moja a nusu walishaiba zamani wana hopitali za rufaa 5. Magufuli mwizi kapeleka lami na CRDB kwao na Kigoma na Tunduru, kubwa eneo kuliko kwa CHADEMA wao wana lami na CRDB mpaka migombani. Flyover za Airport, Ubungu, Kurasini, Selander Bridge, mwizi mkubwa kaiba hela zetu. Hivi zamani zilikuwa zinaenda wapi? Wasaliti wanaomchukia ni CHADEMA 13% kwa vile kawanyanganya tonge mdomoni lakini Watanzania wa kawaida 87% wanamsapoti hata zikipigwa kura leo. CHADEMA walikuwa wezi tangu zamani, wakiwa na Waziri Mkuu (mara 3) na Naibu Waziri Mkuu (mara 1). Waziri wa Fedha (mara 3) na Waziri wa Elimu (mara 5), wote wanavutia kwao, leo wanatubeza wanataka Serkali za Majimbo wajitawale kwa Ukabila. Tuwakatae.