Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Shujaa Magufuli amelala hawezi kujitetea kwa lolote lakini Mungu wa mbinguni anamtetea Sawasawa na Exodus 14:14

Sisi tuliomkubali Shujaa Magufuli kwa kazi zake na kuyavumilia mapungufu yake ya kibinadamu tunamshukuru sana Mungu wa mbinguni kwa zawadi ile ya Mtu yule John Pombe Joseph Magufuli

Na tutazidi kumshukuru Mungu wa mbinguni kwa kila udhihirisho atakaotuletea wa Nia Njema iliyojaa Moyoni mwake Shujaa Magufuli

Amen.

Mungu wa mbinguni awabariki [emoji3]
Amen
 
Chadema hawana haja na marehemu sawasawa na mhubiri 9:5 & 6 ( Kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa, Lakini wafu hawajui neno lolote kumbukumbu lao limesahauliwa. Mapenzi Yao, machukio yao husuda yao yamepotea pamoja yote Wala hawana sehemu kwenye jambo lolote chini ya jua.)
 
Wakuu poleni na majukumu

Nimeshindwa hata niseme nini, ila muda si mrefu nitamsamehe mwendazake kwa aliyonifanyia, maana yanayoendelea na ninayoyaona mbeleni, nitamani hata nipotee

Dah
 
Yote yamesababishwa na yeye, kumbuka ndiyo aliwabana wapigaji, vumilia kwanza wazibe zibe mapengo, wataregeza baadae....

Kumbuka mkubwa mpishe apite ila yeye aliwabana wenye mirija yao akashindwa kuwamaliza, wao wakamuwahi na sasa wanaishi
 
Atakuja mwingine wa kuwamaliza waliobaki 😅🙏. Alisemaga Sankara “ You cannot kill ideas “ 🙏🙏😅
 
Ndugu zangu hata kama huna akili ona hata aibu kidogo!

Alitokeaga JEMBE narudia alitokeaga JEMBE akafanya mengi.

Yafuatayo ni baadhi tu:

1. Julius Nyerere hydro power plant mfupa uliowashinda wengi[emoji123]
2. Electric SGR ndoto ambayo waTanzania hawa kuwahi kuota[emoji122][emoji122]
3. Kuhamia dodoma rasmi sio porojo za tangu 1970 plus ujenzi wa ikulu etc[emoji123]
4. Upanuzi wa bandar zetu kwa mabillion ya fedha[emoji122][emoji122]
5. Ujenzi wa barabara za kisasa hadi NJIA NANE +7,ring roads,by pass etc[emoji122][emoji122]
6. Ujenzi wa masoko ya kisasa mno [emoji108]
7. Ujenzi wa stendi za kisasa za mabillion zenye ubora kushinda airport nyingi[emoji108]
8. Ununuzi wa RADA 4 za kisasa zilizotufanya kuondokana na aibu ya kutumia rada za nch jirani just imagine??[emoji122][emoji122]
9. Ujenzi wa madaraja ya kisasa mnayopigia pigia picture na kumkejel[emoji115]
10. Ujenzi wa vivuko vya kisasa vikubwa na vidogo plus ujenz wa meli kadhaa[emoji122][emoji122]
11. Ununuzi wa ndege 11 ndani ya miaka mitano tu [emoji122][emoji122]
12. Ujenzi wa interchange,flyovers,overpasses etc watu mlidhan ni vitu vya ulaya tu ila viliwezekana[emoji122]
13. Kufufua reli ya Tanga Arusha mfupa uliowashinda wengi[emoji123][emoji123]
14. Uboreshaji wa bandar za maziwa plus ujenz wa chelezo mwanza[emoji110][emoji110]
15. Kutoa elimu bure free of charge kwanzia msing mpaka form 4[emoji122][emoji122]
16. Ujenzi wa mamia ya hospital za wilaya[emoji117]
17. Ujenzi wa maelfu ya zahanati[emoji117]
18. Ujenzi wa hospital kadhaa za mikoa na rufaa [emoji117]
19. Uboreshaji wa majengo ya MAHAKAMA ambayo yalikuwa kama vyoo!![emoji122][emoji122]
20. Uendelezaji wa BRT[emoji117]
21. Upanuzi wa Airport kadhaa kwanzia majengo yake mpaka runways[emoji117]
22. Ujenzi wa vyuo vya veta plus chuo kikubwa cha uongoz pwani[emoji122][emoji122]
23. Upanuzi iwa miradi ya umeme kinyerez mpaka 4 huko[emoji122]
24. Uboreshaji wa MSD kwa vifaa, magari etc [emoji122][emoji122]

Vitu hivi vilifanyika ndan ya miaka mitano tu!! na hv ni baadhi tu[emoji110]
 
Kwann iliwezekana ? Nini kimetokea ? Mbona tulisahau kama Hili nalo ni changamoto?

Ni kwel kuna watu wanamhujumu Rais? Au ni Kauli kata upepo iliyotengenezwa kuonesha hujuma ndani ya mfumo ? Au kuna wachache wanapiga madili na 10% ? Eh Mbona this is too much …! Tumerud Miaka 1960 kweli jiji kama Arusha linakosa umeme 24 hrs ? Katikati ya jiji?

Wageni wanashangaa huduma zinasimama vijana wanakosa Kazi zao za siku zinazotegemea umeme ? Mambo ya Ajabu sana kuona Giza Nchi nzima Kwa hii era .

Anyway Biteko you can do this job we trust you …Angalia mfumo Uko tanesco fumua ..tayari Njia ulianzishiwa sasa Malizia ..!

So Shame my country
 
MAGUFULI ATASIMANGWA MILELE LABDA AFUFUKEE
"Mtanikumbuka na si kwa MABAYA Bali kwa mazuri ninayowaachia"
Alinena mwendazake siku zake za mwisho.

Mwenda zake hakuja ili adumu alikuwa kutoa kionjo na kuwaamsha mlio lala,kutoa Nuru na kujitambua kwa watanzania,alikuwepo umeme haukuwa tatizo tulisahau,sasa Hawa miungu wetu Leo wamebaki kupambana na Nini? Au ndo wako bize kuminyana na akina dada mnatuona nyani?🤣😂
 
Nilikuwa nasikitishwa sana namna baadhi ya watu wachache walivyokuwa wakimshambulia Rais wetu mitandaoni. Na bado Kuna wengine wanadai hata Sasa kwamba serikali yake ilifeli katika mengi ila aliminya vyombo vya habari kuyaweka mambo wazi.

Najiuliza kama alifanikiwa kwenye Umeme hapakuwa na kukatikakatika kama tunavyoshuhudia, shutuma dhidi yake ni uongo na chuki binafsi.

Kama Kuna mtu anataka kura Kwa Watanzania 2025 awathibitishie atatumia Magufuli style. Huo ni ukweli Kwa sisi wananchi wa kawaida.
 
Ndugu zangu hata kama huna akili ona hata aibu kidogo!

Alitokeaga JEMBE narudia alitokeaga JEMBE akafanya mengi.

Yafuatayo ni baadhi tu:

1. Julius Nyerere hydro power plant mfupa uliowashinda wengi[emoji123]
2. Electric SGR ndoto ambayo waTanzania hawa kuwahi kuota[emoji122][emoji122]
3. Kuhamia dodoma rasmi sio porojo za tangu 1970 plus ujenzi wa ikulu etc[emoji123]
4. Upanuzi wa bandar zetu kwa mabillion ya fedha[emoji122][emoji122]
5. Ujenzi wa barabara za kisasa hadi NJIA NANE +7,ring roads,by pass etc[emoji122][emoji122]
6. Ujenzi wa masoko ya kisasa mno [emoji108]
7. Ujenzi wa stendi za kisasa za mabillion zenye ubora kushinda airport nyingi[emoji108]
8. Ununuzi wa RADA 4 za kisasa zilizotufanya kuondokana na aibu ya kutumia rada za nch jirani just imagine??[emoji122][emoji122]
9. Ujenzi wa madaraja ya kisasa mnayopigia pigia picture na kumkejel[emoji115]
10. Ujenzi wa vivuko vya kisasa vikubwa na vidogo plus ujenz wa meli kadhaa[emoji122][emoji122]
11. Ununuzi wa ndege 11 ndani ya miaka mitano tu [emoji122][emoji122]
12. Ujenzi wa interchange,flyovers,overpasses etc watu mlidhan ni vitu vya ulaya tu ila viliwezekana[emoji122]
13. Kufufua reli ya Tanga Arusha mfupa uliowashinda wengi[emoji123][emoji123]
14. Uboreshaji wa bandar za maziwa plus ujenz wa chelezo mwanza[emoji110][emoji110]
15. Kutoa elimu bure free of charge kwanzia msing mpaka form 4[emoji122][emoji122]
16. Ujenzi wa mamia ya hospital za wilaya[emoji117]
17. Ujenzi wa maelfu ya zahanati[emoji117]
18. Ujenzi wa hospital kadhaa za mikoa na rufaa [emoji117]
19. Uboreshaji wa majengo ya MAHAKAMA ambayo yalikuwa kama vyoo!![emoji122][emoji122]
20. Uendelezaji wa BRT[emoji117]
21. Upanuzi wa Airport kadhaa kwanzia majengo yake mpaka runways[emoji117]
22. Ujenzi wa vyuo vya veta plus chuo kikubwa cha uongoz pwani[emoji122][emoji122]
23. Upanuzi iwa miradi ya umeme kinyerez mpaka 4 huko[emoji122]
24. Uboreshaji wa MSD kwa vifaa, magari etc [emoji122][emoji122]

Vitu hivi vilifanyika ndan ya miaka mitano tu!! na hv ni baadhi tu[emoji110]
It gave me goosebumps reading this. Kudos

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Kila nikisoma huu Uzi, natamani atokee mtu kama yeye Tena

. Wagalagala, wanakuzi na wazandiki wanatupoteza.
 
Kwann iliwezekana ? Nini kimetokea ? Mbona tulisahau kama Hili nalo ni changamoto?

Ni kwel kuna watu wanamhujumu Rais? Au ni Kauli kata upepo iliyotengenezwa kuonesha hujuma ndani ya mfumo ? Au kuna wachache wanapiga madili na 10% ? Eh Mbona this is too much …! Tumerud Miaka 1960 kweli jiji kama Arusha linakosa umeme 24 hrs ? Katikati ya jiji?

Wageni wanashangaa huduma zinasimama vijana wanakosa Kazi zao za siku zinazotegemea umeme ? Mambo ya Ajabu sana kuona Giza Nchi nzima Kwa hii era .

Anyway Biteko you can do this job we trust you …Angalia mfumo Uko tanesco fumua ..tayari Njia ulianzishiwa sasa Malizia ..!

So Shame my country
Upo mfumo wasemwa upo "deep" sana lakini upo kwenye kainchi kadogo kaitwa Jamhuri ya Wapigaji.

Hakuna raisi ambae atatoka nje ya mfumo huu bila kuidhinishwa na wananchi wa Jamhuri ya Wapigaji.

Jamhuri ya Wapigaji ndo inoendesha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom