Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Huyu ndio shetani aliyetuletea bunge la chama kimoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenShujaa Magufuli amelala hawezi kujitetea kwa lolote lakini Mungu wa mbinguni anamtetea Sawasawa na Exodus 14:14
Sisi tuliomkubali Shujaa Magufuli kwa kazi zake na kuyavumilia mapungufu yake ya kibinadamu tunamshukuru sana Mungu wa mbinguni kwa zawadi ile ya Mtu yule John Pombe Joseph Magufuli
Na tutazidi kumshukuru Mungu wa mbinguni kwa kila udhihirisho atakaotuletea wa Nia Njema iliyojaa Moyoni mwake Shujaa Magufuli
Amen.
Mungu wa mbinguni awabariki [emoji3]
Chadema hawana haja na marehemu sawasawa na mhubiri 9:5 & 6 ( Kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa, Lakini wafu hawajui neno lolote kumbukumbu lao limesahauliwa. Mapenzi Yao, machukio yao husuda yao yamepotea pamoja yote Wala hawana sehemu kwenye jambo lolote chini ya jua.)Shujaa Magufuli amelala hawezi kujitetea kwa lolote lakini Mungu wa mbinguni anamtetea Sawasawa na Exodus 14:14
Sisi tuliomkubali Shujaa Magufuli kwa kazi zake na kuyavumilia mapungufu yake ya kibinadamu tunamshukuru sana Mungu wa mbinguni kwa zawadi ile ya Mtu yule John Pombe Joseph Magufuli
Na tutazidi kumshukuru Mungu wa mbinguni kwa kila udhihirisho atakaotuletea wa Nia Njema iliyojaa Moyoni mwake Shujaa Magufuli
Amen.
Mungu wa mbinguni awabariki [emoji3]
Hapana mkuu, kiuchumiVipi mkuu umeng'olewa kucha au??? Mtoto mtundu amewaomba msiogope😍😍😍
Atakuja mwingine wa kuwamaliza waliobaki 😅🙏. Alisemaga Sankara “ You cannot kill ideas “ 🙏🙏😅Yote yamesababishwa na yeye, kumbuka ndiyo aliwabana wapigaji, vumilia kwanza wazibe zibe mapengo, wataregeza baadae....
Kumbuka mkubwa mpishe apite ila yeye aliwabana wenye mirija yao akashindwa kuwamaliza, wao wakamuwahi na sasa wanaishi
AmenWakuu poleni na majukumu
Nimeshindwa hata niseme nini, ila muda si mrefu nitamsamehe mwendazake kwa aliyonifanyia, maana yanayoendelea na ninayoyaona mbeleni, nitamani hata nipotee
Dah
"Mtanikumbuka na si kwa MABAYA Bali kwa mazuri ninayowaachia"MAGUFULI ATASIMANGWA MILELE LABDA AFUFUKEE
It gave me goosebumps reading this. KudosNdugu zangu hata kama huna akili ona hata aibu kidogo!
Alitokeaga JEMBE narudia alitokeaga JEMBE akafanya mengi.
Yafuatayo ni baadhi tu:
1. Julius Nyerere hydro power plant mfupa uliowashinda wengi[emoji123]
2. Electric SGR ndoto ambayo waTanzania hawa kuwahi kuota[emoji122][emoji122]
3. Kuhamia dodoma rasmi sio porojo za tangu 1970 plus ujenzi wa ikulu etc[emoji123]
4. Upanuzi wa bandar zetu kwa mabillion ya fedha[emoji122][emoji122]
5. Ujenzi wa barabara za kisasa hadi NJIA NANE +7,ring roads,by pass etc[emoji122][emoji122]
6. Ujenzi wa masoko ya kisasa mno [emoji108]
7. Ujenzi wa stendi za kisasa za mabillion zenye ubora kushinda airport nyingi[emoji108]
8. Ununuzi wa RADA 4 za kisasa zilizotufanya kuondokana na aibu ya kutumia rada za nch jirani just imagine??[emoji122][emoji122]
9. Ujenzi wa madaraja ya kisasa mnayopigia pigia picture na kumkejel[emoji115]
10. Ujenzi wa vivuko vya kisasa vikubwa na vidogo plus ujenz wa meli kadhaa[emoji122][emoji122]
11. Ununuzi wa ndege 11 ndani ya miaka mitano tu [emoji122][emoji122]
12. Ujenzi wa interchange,flyovers,overpasses etc watu mlidhan ni vitu vya ulaya tu ila viliwezekana[emoji122]
13. Kufufua reli ya Tanga Arusha mfupa uliowashinda wengi[emoji123][emoji123]
14. Uboreshaji wa bandar za maziwa plus ujenz wa chelezo mwanza[emoji110][emoji110]
15. Kutoa elimu bure free of charge kwanzia msing mpaka form 4[emoji122][emoji122]
16. Ujenzi wa mamia ya hospital za wilaya[emoji117]
17. Ujenzi wa maelfu ya zahanati[emoji117]
18. Ujenzi wa hospital kadhaa za mikoa na rufaa [emoji117]
19. Uboreshaji wa majengo ya MAHAKAMA ambayo yalikuwa kama vyoo!![emoji122][emoji122]
20. Uendelezaji wa BRT[emoji117]
21. Upanuzi wa Airport kadhaa kwanzia majengo yake mpaka runways[emoji117]
22. Ujenzi wa vyuo vya veta plus chuo kikubwa cha uongoz pwani[emoji122][emoji122]
23. Upanuzi iwa miradi ya umeme kinyerez mpaka 4 huko[emoji122]
24. Uboreshaji wa MSD kwa vifaa, magari etc [emoji122][emoji122]
Vitu hivi vilifanyika ndan ya miaka mitano tu!! na hv ni baadhi tu[emoji110]
Upo mfumo wasemwa upo "deep" sana lakini upo kwenye kainchi kadogo kaitwa Jamhuri ya Wapigaji.Kwann iliwezekana ? Nini kimetokea ? Mbona tulisahau kama Hili nalo ni changamoto?
Ni kwel kuna watu wanamhujumu Rais? Au ni Kauli kata upepo iliyotengenezwa kuonesha hujuma ndani ya mfumo ? Au kuna wachache wanapiga madili na 10% ? Eh Mbona this is too much …! Tumerud Miaka 1960 kweli jiji kama Arusha linakosa umeme 24 hrs ? Katikati ya jiji?
Wageni wanashangaa huduma zinasimama vijana wanakosa Kazi zao za siku zinazotegemea umeme ? Mambo ya Ajabu sana kuona Giza Nchi nzima Kwa hii era .
Anyway Biteko you can do this job we trust you …Angalia mfumo Uko tanesco fumua ..tayari Njia ulianzishiwa sasa Malizia ..!
So Shame my country