Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Mimi ni Kamanda na kada mtiifu wa Chadema. Leo nimewaasili mapema ili nishiriki maadhimisho ya shujaa wa Afrika. Hayati JPM . Kwa sasa nipo Chato.
Sipendi ufisadi na utapeli wa kisiasa kama wa Mbowe..
Ndio maana nilimkubali hayati JPM.
Huu upotoshaji eti Chato iligeuka Gabdolite ni upuuzi na ushenzi wa Makamanda wenzangu wanaofikiri kwa makalio na makamasi.
Chato ipo kama wilaya zingine tu hapa Tanzania.
Hizi traffick light nilizoziona hala Muungano Chato ni za kawaida kabisa.
Hiyo stendi mpya ya Kahumo ni ya kawaida kabisa. Maana mabasi ya kila namna yanapit hapa Chato. Yalihitaji stendi ya kisasa.
Barabara za lami ni za kawaida kabisa ambazo kuwepo Wilayani ni kawaida.
Upuuzi na chuki za Makamanda wenzangu ulifanya wajisahau kuwa Hayati JPM alikomboa taif letu kwa miaka mitano dhidi ya wahuni na mafisadi wa CCM.