Asipokuwepo mbadala nimeshaamua kuitupa chooni.Weka mbadala sasa, kama hapewi anpewe nani? Au kura iharibike tu?
Wote wenye busara watakipa chama kinachofanana na sera za ukombozi, uzalendo, ukweli,uthabiti wa kauli, kinachomuenzi Baba wa taifa kwa matendo yao si kauli zao. Kinachosimamia azimio la arusha hata kama ni kwa sura tofauti. Magufuli si miongoni mwa wanachama wa chama hichoHabari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!
Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Unauliza swali wakati wewe hautakuwepo kushuhudia jibu!Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!
Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!
Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Lazima apate kura yangu na ukoo wangu wote!Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!
Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Ukaidi ni wako wakutofuata ushauri wa wataalamu.Baada ya corona kutokomea kila atakaebakia atakua na maumivu ya kuondokewa na mpendwa/wapendwa wake.Uzembe na ukaidi ni wa nani?
Hapo ndio utapoona umuhim wa kura yako.
Sent using Jamii Forums mobile app