Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

Kadi ya mke wangu ikae vizurikwani hakika nitaiiba ili nikampe kura mbili za uhakika. Uliza yanayotokea nchi jirani waliojifanya kujifungia ndani

Nani anawadanganya? Huko maambukizi yamedhibitiwa. Rwanda na Uganda wamesha anza ku relax taratibu kali za lockdown kurudi kwenye maisha ya kawaida.

Rwanda na Uganda pia hadi sasa hawana vifo vya Corona.

Nani anawadanganya mnamwamini?
 
Apate Mitano Ya Mwisho.Hilo ni La Msingi sana ukiangalia Chadema Pale hivi nani ataweza kuongoza nchi???

Kingine Rais Magufuli amefanya mambo mazuri kwa kuthubutu...shida moja aaangalie kuna watu wanasumbua sana watu kuwambia wako Usalama. wanazushia watu wengi mambo ya ajabu hilo mhimu aliangalie.
 
Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.

Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!

Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Nimegonga Like tu
 
Kwanza namshukuru Mungu kwa kutupa Rais aliye mzalendio kweli kweli! NITAMPA KURA yangu na muda ukifika nitampigia kampeni apate kura Zooote za wazalendo wenzake ambazo ni NYINGI sana. Najua wapiga dili hawatampa lakini wako WACHACHE!!
Mama yako akitekwa usiku huu kura yako isibadilike tafadhali.
 
Binafsi mpaka nijue kwanini tundu Lisu alipigwa risasi na Nani alimpiga risasi na kwanini.

Pia nijue wapi alipo Ben Rabiu Saanane.

Wapi alipo kanguye.

Nikishajua hatma Yao nampigia simu sugu Mr two na too proud kutia ndani lema mbunge wa Arusha na mbowe halima mdee na wabunge wote wakike wa chadema ambao hawajasaliti CHAMA ndio nitaamua.
 
Chadema mpaka kufa ishu za kiwaki ngareroo ukienda soweto SA fumikwaani n'khooxa ukcxwaabe matlabee um'khonto we xzwe......!!!
 
Mimi namuombea kwa Mungu ili Mungu ampe uwezo wa kujipima wenyewe Kama anatosha au la ili asilazimishe kugombea akiishia kuwafanya police wetu,TISS,na watu wa Time ya uchaguzi wakafanya dhambi ambazo zisizo za lazima
Mtu mcha Mungu kama yeye bila shaka atausikia na kuuona ushauri wako maridhawa!

Unategemea muujiza nyakati hizi utokee mkuu 'Sijjijui'!

Yeye atakwambia Mungu kamsukumiza akawatawale waTanzania watake wasitake ili awaletee maendeleo barabara, reli, ndege na mavitu chungu nzima..., akishasema haya, kampeni imekwisha.
 
Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inauma mno naamini hata mama yake anaumia
 
Yaani Janga la Dunia la CORONA ambalo limewashinda hata Marais wanaosifika Duniani ndiyo leo hii lifanye Rais Dkt. Magufuli hafai? Sasa naanza Kuamini kuwa Great Thinkers wameshapungua nchini Tanzania.
Hao walioshindwa ninkwamba at least wameonesha juhudi ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…