Wazee wanapungua ndio mtaji wa chakavu.Uzuri mwaka huu lile zindiko la Moto wa kichawi toka kuzimu linalopumbaza watu akili wakosee kuchagua alijakimbizwa sababu ya corona, hapa zindiko limekiukwa chochote chaweza tokea.Mtaji mkubwa wa ccm ni wazee nawashangaa wameleta corona ili iangamize wazee
Sasa ngoja wazee waishe na corona tubaki vijana watupu tuwafundishe adabu mwezi October
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hata wewe unayefanya biashara unategemea sheria nzuri na serikali,na serikali iliyopo madarakani ambayo inaongozwa na CCM na yeye ndiyo Rais Magufuli.Sababu mfumo wako wa kuishi unategemea uwepo wake.Jifunze maisha mbadala asipokuwepo usife njaa
Aah wapi, Sheria za nchi zipo hata kabla yake.Niko independent kutokuwepo kwake hakutoniathiri kuisafisha njia ya chooni isiote nyasiHahaha hata wewe unayefanya biashara unategemea sheria nzuri na serikali,na serikali iliyopo madarakani ambayo inaongozwa na CCM na yeye ndiyo Rais Magufuli.
Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!
Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mleta mada hajasema kumpa au kutompa kura sababu ya corona? Au wewe unampima kwa kigezo cha korona?Uliza yanayotokea nchi jirani waliojifanya kujifungia ndani
Afadhali atangazwe lakini wewe ukiwa humo kwenye huo uchuro. Unajua mtu ambaye hukumchagua hata akiboronga haikuumi sana ila unabaki kushangaa akili za waliompaTatizo linakuja umpe usimpe atatangazwa
As you have said, this is indeed a '"foolish" answer from a "foolish" voterHuku sio fesibuku mkuu. Ni forum for GTs. Hivyo, huwezi weka hoja kondefu namna iyo. You must narrate in details so that watu wajue your reason behind your conclusion.
Anyways, wacha nikujibu kipumbavu ivoivo, JPM my VOTE!
kushney!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hebu fikiri kama pamoja na kujifungia ndani hali ni ngumu, ina maana kama wasingejifungia wangeshateketea wote. Dawa kubwa ya Corona ni kuzuia kusambaa kwake na njia mojawapo ya kuzuia kusambaa ni ya karantini. Mwenzetu na huyo rafiki yako mnasubiri miujiza gani ya kuzuia kusambaa kwa hivi virusi?Kadi ya mke wangu ikae vizurikwani hakika nitaiiba ili nikampe kura mbili za uhakika. Uliza yanayotokea nchi jirani waliojifanya kujifungia ndani
Anasikilizia jinsi watz wanavyojikuna na Cov-19 na kucheka moyoni " ehehehe....hiiiiiiii....kagonjwa kenyewe kadogo tu. Hapa uchumi tu nauangalia"
Magu hawezi shinda uchaguzi, na hilo analijuaHabari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!
Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako??
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watu wa Ufipa huwa mnajifanya mna maendeleo mkiombwa msaada hata mia hamtoiAah wapi, Sheria za nchi zipo hata kabla yake.Niko independent kutokuwepo kwake hakutoniathiri kuisafisha njia ya chooni isiote nyasi
Nenda kwenye kioo kajiangalie halafu urudi tena hapa.Na ujisemee kwamba wewe mropokaji na mtu wa kujipa matumaini.Magu hawezi shinda uchaguzi, na hilo analijua
Mkuu wafanyakazi wa hivyo vyombo ni watanzania pia sasa whether wanakiona hiki ambacho Mimi na wewe tunaona au wamepigwa upovu na mishahara na marupurupu ya muda mfupi Mungu ndo anajua,Ila tuendelee kuwaombea,Kama Mungu anaweza simamisha corona dhidi ya Tanzania anashindwaje kwa mtu anaiharibu Tanzania?Hivyo vyombo vingekuwa vinajali mustakabali wa nchi huyu mtu aliyebomoa nchi asingerudi.Tuendelee kumuombea Mangula afya tele