Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
[emoji1][emoji1][emoji1]Tumepe kura ili iweje kionngozi anayethamini vitu baada ya watu
Tunashukuru mungu corona imemuumbua hatumtaki
Ndiyo maana Wabunge wenu wachoyo na wabinafsiHatuwezi toa Kisha inatumika kutuumiza
Mkuu eti Uganda mpaka sasa wagonjwa ni wangapi?Kadi ya mke wangu ikae vizurikwani hakika nitaiiba ili nikampe kura mbili za uhakika. Uliza yanayotokea nchi jirani waliojifanya kujifungia ndani
Kwa tume ipi?Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!
Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Kwenye eneo ganiNdiyo maana Wabunge wenu wachoyo na wabinafsi
Ndiyo maiti siku zote huwa ni mzigo kwa walio hai, wewe unadhani Kuna mtu hai yupo Kariakoo anatafuta corona kwa kisingizio cha kuchapa kazi?Awajaongezwa mishahara miaka plus kikotoo kitarudi cha ajabu yatakosea tu.Kuwa maiti ni mzigo
Mkuu hao viongozi wa dini unawaonea bure jilaumu wewe mwenyewe kwa kushindwa kuchukua hatua.Niseme tu wa kulaumiwa ni viongozi wa dini wamejifichia kwenye unafiki wa njaa.Wanashindwa vipi kuwatenga waumini wao ambao ni wahuni wasiriharibu taifa Bali uwakumbatia Hadi kuwaruhusu wakanyage mimbali wamkufuru Mungu.Watu waovu wasipotengwa katu awatoacha uovu wao wataendelea kutesa na kuumiza watu.Nawakubali viongozi wa dini wa Congo na Kenya walisimama na jamii wakawapinga wahuni wasibomoe nchi zao.Viongozi wa dini Wana nguvu Sana Kama wataamua kusimamia kweli ili kuliponya taifa,check Leo hata sadaka na michango imepungua sababu ya unafiki wao wa kukaa kimya.
Kwani corona inabagua hata uwe kwenu malinyi usipofata taratibu za afya itakupata tu.Waweza kuwa kariakoo kwa taadhari pia.Ndiyo maiti siku zote huwa ni mzigo kwa walio hai, wewe unadhani Kuna mtu hai yupo Kariakoo anatafuta corona kwa kisingizio cha kuchapa kazi?
Nitampa DJ akigombea maana sisi waafrika tunapenda Starehe kama bia, soda, chips kuku, nyama choma, rushwa, maendeleo ya hewani, ngoma, social relationship, music and the likeHabari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!
Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Sawa mkuu wewe chukua tahadhari na piga kazi,maana hao 250 wanaoumwa Tanzania na maelfu waliokufa dunia nzima si makini Kama weweKwani corona inabagua hata uwe kwenu malinyi usipofata taratibu za afya itakupata tu.Waweza kuwa kariakoo kwa taadhari pia.
Corona imekuja kuchukua watu wake watakaobakia watabaki na watakaondoka wataondoka ikishamaliza kazi yake itaondoka.Huna haja ya kuogopa kifo ambacho kipo tu hata usipokiogopaSawa mkuu wewe chukua tahadhari na piga kazi,maana hao 250 wanaoumwa Tanzania na maelfu waliokufa dunia nzima si makini Kama wewe