Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 478
- 1,025
Tume ya uchaguzi itokane na wananchi sio watawala na isifungamane na upande wowote na wasimamizi wote wasitokane na upande wowote siku hiyo nitapiga kura vinginevyo no, never
Nashukuru mimi ni mmoja ya wale ambao tuliapa humu jukwaani kutoshiriki uchaguzi ambao haki ya wapiga kura inaamuliwa na wasimamizi wa huo uchaguzi, na ambao kimsingi ni makada watiifu wa chama tawala.
Kwa hiyo katika hili, nipo pamoja na CHADEMA na Mwenyekiti wake Mh. Tundu Lissu.
Kifupi hakuna sababu ya kushiriki kwenye hayo maigizo mpaka pale mabadiliko ya kweli yatakapofanyika kwenye tume inayosimamia huo uchaguzi.
Nitashiriki mapema sana mm na familia yangu na wale ndugu zangu wa kijijini nishawaambia kura ni kwa Samia tu kiukweli mm kuvumilia foleni siwezi ila foleni niliyoikuta siku najiandikisha niliivumilia ili ikifika siku niwe nina haki ya kumpigia kura Samia
Nitampigia kura Samia. Legacy ya mwanamke wa kwanza kupigiwa kura za urais na kushinda ni muhimu kwa mabinti zangu.
hii ni calculated motion, lissu kakamatwa sikuchache kabla ya kutiwa sign makubaliano na wakijua wasiposign watafutwa kwenye daftari, that end of story
Umechafukwa?😁😁Hata Kama wangekuwepo hao chadema nisingepiga kura
HamnaUmechafukwa?😁😁
Umekata tamaa?Hamna
Wamesema watajitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura kwani kile chama kinachojinasibu kuzuia uchaguzi na kuleta fujo kitakuwa hakipoSasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Hamna mkuuUmekata tamaa?
2019 hawakushiriki uchaguzi serikali za mitaa hivyo kutoshiriki uchaguzi huu ni sawa wamelipa deni sababu 2020 ubunge na Rais waliweka wagombea na ilionekana wamewaonea wagombea waliokuwa tayari kushiriki serikali za mitaa. Ni uamuzi mzuri kwao unaoweka usawa katika chaguzi zote mbili.Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Hakika, uoni kama Kuna namna watu wanaweza amsha vuguvugu lingine la kutofika kwenye vituo vya kupiga kura siku ya uchaguzi kama kususia uchaguzi Kiana ?Wamesema watajitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura kwani kile chama kinachojinasibu kuzuia uchaguzi na kuleta fujo kitakuwa hakipo
Watanzania kama walikuwa kweli wapo serious wanaweza kutofika kupiga kura iyo sikuWajinga ndy watakaao piga kura feki
Nitashiriki mapema sana mm na familia yangu na wale ndugu zangu wa kijijini nishawaambia kura ni kwa Samia tu kiukweli mm kuvumilia foleni siwezi ila foleni niliyoikuta siku najiandikisha niliivumilia ili ikifika siku niwe nina haki ya kumpigia kura SamiaSasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?