Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
No Reforms, No Election!!Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Sitashiriki japo nina kitambulisho cha mpiga kura. Ulinzi wa kura yangu ndio muhimu japo sijahakikishiwa. Nawasikiliza viongozi wangu wa CDMSasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Huu ndio ukweliGentleman,
kwa mujibu wa katiba,
hata wakishiriki wapiga kura wa3 tu nchi nzima,
atakaepata kura2 atatangazwa mshindi, atakamata dola, ataunda serikali, ataongoza nchi na waTanzania wote, kwasababu THE WINNERS TAKES ALL.
chadema au chama kingine chochote cha siasa, kishiriki au kisishiriki uchaguz mkuu, hakuna athari zozote za kisheria wala kisiasa zitatokea.
nchi itasonga mbele bila mayowe ya mtu yeyo binafsi na chama chake
Election,no reformNo Reforms, No Election!!
Kamwe katu sitanyanyua miguu yangu kwenda kupiga kura kwa majibu ambayo nayajua kichwani.Kapige kura huko
Hahahaaa unaakili sana ๐ ๐ฏKamwe katu sitanyanyua miguu yangu kwenda kupiga kura kwa majibu ambayo nayajua kichwani.
Bila chadema hakuna uchaguzi.Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Ni haki yako kikatiba, unakuwa hujitendei haki usipopiga kura, kuwa mwananchi mwajibikaji kwa kupiga kura yakoSipigi tena Kura mimi
๐ ๐ ๐Sipigi tena Kura mimi
๐๐ Ni haki yako kikatiba lakini, baadae usilalamike viongozi watakapo chaguliwa๐ ๐ ๐
Nilishakula kiapo cha damu, yeyote anayeongoza vizuri hata kama sijamchagua huyo ndio kiongozi wangu...๐๐ Ni haki yako kikatiba lakini, baadae usilalamike viongozi watakapo chaguliwa
Tuelekeze nchi au sayari wanapo patikana hao unao pendekezaTume ya uchaguzi itokane na wananchi sio watawala na isifungamane na upande wowote na wasimamizi wote wasitokane na upande wowote siku hiyo nitapiga kula vinginevyo no, never
You have to shape your perspective for at least to take control on very important aspect in life like election. Yani upo tayari watu wakuchagulie kiongozi badala ya kura yako kweli? Bora upige hata asiposhinda at least ulifanya maamuzi. Si kila wakati utashinda japo kila wakati inakupasa kufanya maamuziNilishakula kiapo cha damu, yeyote anayeongoza vizuri hata kama sijamchagua huyo ndio kiongozi wangu...
Lakini kupiga kura ng'ooo