Je, uvaaji kofia ni kinyume na maadili ya mtanzania?

Serious mkuu unaonekana km mhuni..na kuna zile culture..wanaume wanazivaa sana zina bendera ya Tz..kwakweli nachefukwa sana..iko siku nitaunguza mtu mkono
Haaaaa.....chukulia kawaida mkuu, ila mimi nimeanza kuvaa kutokana na nature ya kazi yangu muda mwingi kuwa juani
 
Nakumbuka niliwahi kuvaa cap, Niko Taifa getini nasuburi kuingia uwanjani kucheki mpira, mama yuko kwenye gari kanicheki naludi home siku alisema ile sikuwahi kuvaa tena ila napenda mno.
 
Shoga sio uhuni jua lina choma jomonii hadi bata wanaruka ruka badala ya kutembea,..☹japo hata mm sipendi man wangu avae kofia aisee labda kwenye mitoko flan hivi beach beach..na avae kwa mwaka mara moja usiwe utaratibu wake😎akivaa sana anaweza geuka abunuwasi buree😂
 
Yes kuna maeneo mwanaume akivaa kofia haina tatizo sio kila siku
 


Hahahaa inategemea na nature ya kazi yake..huyu hashindi juan.uhuni tu..yes atleast beach jaman ila inategemea na mkoa sasa..mm hapana jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…