Je, Vyoo vya Shule za Serikali vinajengwa hivi?

View attachment 1957636
WATOTO WETU WOTE WATAINGIA FORM 1 MWAKA HUU HATUNA SECOND SELECTION TUMEJENGA MADARASA YA KUTOSHA RAIS AMETOA 842 BILIONI alisikika kiongozi mmoja akinadi kwa bashasha na masham sham sera za Chama
NDIO UWEZO WA WAHANDISI WETU WAKATI UMEFIKA HIZO TENDA WAPEWE MAKAMPUNI YA KICHINA ULIZA GHARAMA YAKE UTAAMBIWA MIL.350
 
Pour flush toilets? Hilo pia linawezekana. Asante kwa kutuelimisha.

Amandla...
 
Kuna technology moja mpya ya chemba inaitwa ballistic septic ingefaa zaidi
 
Viongozi wenye dhamana ya kusimamia majengo ya serikali hebu tuwe na huruma na uchungu wa fedha za serikali ambazo ni kodi wanazokamuliwa masikini.

Nini usalama wa hayo mabomba je akitokea mtu usiku akayakatakata kwa msumeno nini hatima yake?

Kwa ujenzi huo tumeibiwa wahusika wawajibishwe.

 
Kwani huoni kama ujenzi unaendelea hapo!

Na uyo mtu aje na msumeno kukata ina maana si amedhamilia hata ukifukia chini utasema vip mtu akija na jembe kuchimbua
 
Hahaha dah wameambiwa wakatumie force account mafundi wanajiamulia tu ili wamalize kazi kwa garama ndogo kumbe wanatengeneza mabom yatatulipukia tu hayo

hii nchi hataufany nn wapigaji wanakuja na mbinu mpya kila kukicha wazipige hela
 
Hata barabara ya mwendo kasi naona ina shida wameibana sana kiasi cha kwamba ni ngumu gari ndo kuovertake lori mkiwa laini moja
 
Kwan huoni kama ujenzi unaendelea hapo!!
Na uyo mtu aje na msumeno kukata ina maana si amedhamilia hata ukifukia chini utasema vip mtu akija na jembe kuchimbua
Hicho si ni choo cha wanafunzi?

Unategemea haja kubwa ya watoto wa kisukuma itapita kwenye hicho kibomba Cha inchi mbili?
 
Lakini hapo ni rahisi kurekebisha kuhakikisha hayo mabomba yanaingia chini ya ardhi
 
Force account hiyo maana yake Akaunti ya kulazimisha hata kama hela haitoshi lazima kazi iishe unategemea ubora gani kwa bajeti ya kulazimisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…