Je, Vyoo vya Shule za Serikali vinajengwa hivi?

Je, Vyoo vya Shule za Serikali vinajengwa hivi?

Sema nini fundi hakutumia akili, hajaweka hata station chambers
Pia kulikuwa hakuna haja ya kuweka mabomba mengi hivyo kama angejengea chamber
 
View attachment 1957636
WATOTO WETU WOTE WATAINGIA FORM 1 MWAKA HUU HATUNA SECOND SELECTION TUMEJENGA MADARASA YA KUTOSHA RAIS AMETOA 842 BILIONI alisikika kiongozi mmoja akinadi kwa bashasha na masham sham sera za Chama
Hawa ni kuwawajibisha but vyoo vingi ukienda havijajengwa hivyo..

Kama ni pesa ya serikali Hawa wailipe hakuna vyoo hapo labda kama ni pesa ya michango ya wananchi.
 
Hiv watu ni makusudi au
Jf waongeze emojis maana nilikua nataka nioneshe kicheko cha kujigalagaza hapa hamna😂😂😂😂
Waziri Ummy na DED wa hiyo Wilaya tunaomba maelezo..

Hata hivyo tunamshukuru uhuru wa kutoa maoni na kuibua uozo maana awamu ya Mwendazake ulikuwa marufuku kuonyesha madhaifu ya serikali bali sifa za bwana Magu kiongozi wa malaika na wanyonge.
 
Viongozi wenye dhamana ya kusimamia majengo ya serikali hebu tuwe na huruma na uchungu wa fedha za serikali ambazo ni kodi wanazokamuliwa masikini...
Waziri Ummy,DED wa hiyo Halmashauri watoe maelezo ya upuuzi kama huo.. Haiwezekani fedha za Umma zitumike hivi.

Hata hivyo nitoe wito Kwa vyombo vya habari na mitandao kuibua wizi kama huu maana kuna lile daraja la miti liliinuliwa mpaka likawekwa sawa..
 
Ndio maana wengi wanapeana tenda za serikali
Maana mtaani wasomi kama hao hawapati ajira narudia hawapati ajira kwa kukariri kwao huko

Kazi mimi nawapa waliosoma veta kuliko paka hao
 
View attachment 1957636
WATOTO WETU WOTE WATAINGIA FORM 1 MWAKA HUU HATUNA SECOND SELECTION TUMEJENGA MADARASA YA KUTOSHA RAIS AMETOA 842 BILIONI alisikika kiongozi mmoja akinadi kwa bashasha na masham sham sera za Chama
Kuisaidia Serikali ni vema kueleza ujenzi huu ni wa shule gani, hao wakaguzi tunaowaona wamechukua hatua gani? inasaidia wahusika kufuatilia.
 
Serikalini kuna lundo la watu very incompetent....wanakula mishahara bure tu....huwezi kukuta ufala wa namna hii Private sector.

Tanzania ni very primitive. Nikupe kazi yangu alafu ufanye upumbavu wa namna hii lazima nikufanye kitu mbaya.
 
Hayo mabomba yatafukiwa. Ujenzi unaendelea. Kwa wasiojua mnaona ajabu but huo ni mtindo unatumika Sana kwenye shule hasa za umma ambazo hazna maji ya kutoshaa. Hpo Kopo la maji tu linatosha
Mkuu nimekuelewa ila kosa hapo Ni hizo bomba ni nyembamba sana walahiii.. Yani hapo watoto wakitupia makaratasi kidogo tu panaziba fasta...!! Ila pia wangekuwa wamefunika hata tusingeona haya madhaifu...
 
WATOTO WETU WOTE WATAINGIA FORM 1 MWAKA HUU HATUNA SECOND SELECTION TUMEJENGA MADARASA YA KUTOSHA RAIS AMETOA 842 BILIONI alisikika kiongozi mmoja akinadi kwa bashasha na masham sham sera za Chama
kupunguza gharama ya kujenga chemba, aisee hii ni mpya... yaani mzigo unatoka toilet unapita kwa bomba moja kwa moja kwenye karo.
 
Back
Top Bottom