Sifa ya Kwanza ya Eng aliyepewa kazi lazima awe Mwanaccm. Mengine yatafata.Viongozi wenye dhamana ya kusimamia majengo ya serikali hebu tuwe na huruma na uchungu wa fedha za serikali ambazo ni kodi wanazokamuliwa masikini.
Nini usalama wa hayo mabomba je akitokea mtu usiku akayakatakata kwa msumeno nini hatima yake?
Kwa ujenzi huo tumeibiwa wahusika wawajibishwe.