Je, Vyoo vya Shule za Serikali vinajengwa hivi?

Je, Vyoo vya Shule za Serikali vinajengwa hivi?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
BB4E79CF-0516-445A-AD1F-8A08FF4FEFF9.jpeg
WATOTO WETU WOTE WATAINGIA FORM 1 MWAKA HUU HATUNA SECOND SELECTION TUMEJENGA MADARASA YA KUTOSHA RAIS AMETOA 842 BILIONI alisikika kiongozi mmoja akinadi kwa bashasha na masham sham sera za Chama
 
View attachment 1957636
WATOTO WETU WOTE WATAINGIA FORM 1 MWAKA HUU HATUNA SECOND SELECTION TUMEJENGA MADARASA YA KUTOSHA RAIS AMETOA 842 BILIONI alisikika kiongozi mmoja akinadi kwa bashasha na masham sham sera za Chama
Hiv watu ni makusudi au
Jf waongeze emojis maana nilikua nataka nioneshe kicheko cha kujigalagaza hapa hamna😂😂😂😂
 
Viongozi Wapo
Afisa Elimu Mkoa Yupo
Afisa Elimu Wilaya Yupo
Mratibu Elimu Yupo
Ndio shida ya force account. Wote hao hawajui lolote kuhusu miundo mbinu ya maji taka kwenye vyoo na mabafu mengi. Kuwatumbua itakuwa sio haki.

Ni kuwaletea mtaalamu atakae waelekeza namna ya kujenga inspection chambers, septic tanks, soak pits au French drains. Sio makosa yao. Na michoro mengi inakosa michoro ya hii miundo mbinu.

Amandla...
 
Ndio shida ya force account. Wote hao hawajui lolote kuhusu miundo mbinu ya maji taka kwenye vyoo na mabafu mengi. Kuwatumbua itakuwa sio haki...
Kwa hiyo wamejenga wanafunzi au sio?

Kwani ukiambiwa force akaunt unaelewaje?

Force account haijenginila inasimamiwa. Kama we unajenga nyumba yako kwa kumtumia fundi Juma na nyumba inakaa miaka 50 kwa nini usimtumie fundi juma akujengee darasa?
 
Ni kupunguza gharama au ukosefu wa wataalamu???

Nini changamoto ya choo cha hvo?
Dj walete wataalamu
Hapo wamepunguza gharama ya matofali, udongo na cement. Ila si njia bora ya ujenzi.
 
Kwa hiyo wamejenga wanafunzi au sio?

Kwani ukiambiwa force akaunt unaelewaje?...
Fundi Juma amenijengea nyumba yenye choo cha shimo, hiyo ya vyoo vingi ingemsumbua. Force account inasimamiwa mara nyingi na walimu ambao hawana uzoefu wa ujenzi. Kuna sehemu Tanzania hawajawahi kuona septic tank.

Amandla...
 
Force akaunti inahusikaje na huyo upuuzi uliofanyika?! Unadhani wasimamizi wa huo ujenzi hawajui choo kinatakiwa kijengwe vipi? Ukienda kwenye majumba yao utakuta wamejenga vizuri kabisa, mafundi wazuri wanawafahamu, hapo kilichofanyika ni kulipua kazi ili wagawane fedha.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Mnachanganya. Kujenga nyumba binafsi ambayo ina choo kimoja au viwili ni tofauti sana na kujenga yenye vyoo tisa vilivyojipanga. Sio sehemu zote Tanzania zenye uzoefu wa manholes, septic tank na soak pit.

Hata wale ambao wana vyoo vinavyotumia maji wengi hawajui namna vilivyounganishwa kwenye septic tank maana mabomba yanakuwa yamefikiwa. Na sio wote wanaojenga nyumba zao. Wengi tuu ni wapangaji.

Huyo mtu atakayejenga hivi kwa makusudi ili apige fedha atakuwa punguani kweli. Hapa ni ignorance tu na sio ufisadi.

Amandla...
 
Fundi Juma amenijengea nyumba yenye choo cha shimo, hiyo ya vyoo vingi ingemsumbua. Force account inasimamiwa mara nyingi na walimu ambao hawana uzoefu wa ujenzi. Kuna sehemu Tanzania hawajawahi kuona septic tank.

Amandla...
Na nyumba zao wanazojenga hao walimu, maafisa elimu na wakurugenzi zinasimamiwa na nani?
 
Back
Top Bottom