Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huoni tatizo hapo?Kwani mchoro unasemaje?
Hiv watu ni makusudi auView attachment 1957636
WATOTO WETU WOTE WATAINGIA FORM 1 MWAKA HUU HATUNA SECOND SELECTION TUMEJENGA MADARASA YA KUTOSHA RAIS AMETOA 842 BILIONI alisikika kiongozi mmoja akinadi kwa bashasha na masham sham sera za Chama
Ndio shida ya force account. Wote hao hawajui lolote kuhusu miundo mbinu ya maji taka kwenye vyoo na mabafu mengi. Kuwatumbua itakuwa sio haki.Viongozi Wapo
Afisa Elimu Mkoa Yupo
Afisa Elimu Wilaya Yupo
Mratibu Elimu Yupo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiv watu ni makusudi au
Jf waongeze emojis maana nilikua nataka nioneshe kicheko cha kujigalagaza hapa hamna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo wamejenga wanafunzi au sio?Ndio shida ya force account. Wote hao hawajui lolote kuhusu miundo mbinu ya maji taka kwenye vyoo na mabafu mengi. Kuwatumbua itakuwa sio haki...
Hapo wamepunguza gharama ya matofali, udongo na cement. Ila si njia bora ya ujenzi.Ni kupunguza gharama au ukosefu wa wataalamu???
Nini changamoto ya choo cha hvo?
Dj walete wataalamu
Fundi Juma amenijengea nyumba yenye choo cha shimo, hiyo ya vyoo vingi ingemsumbua. Force account inasimamiwa mara nyingi na walimu ambao hawana uzoefu wa ujenzi. Kuna sehemu Tanzania hawajawahi kuona septic tank.Kwa hiyo wamejenga wanafunzi au sio?
Kwani ukiambiwa force akaunt unaelewaje?...
Mnachanganya. Kujenga nyumba binafsi ambayo ina choo kimoja au viwili ni tofauti sana na kujenga yenye vyoo tisa vilivyojipanga. Sio sehemu zote Tanzania zenye uzoefu wa manholes, septic tank na soak pit.Force akaunti inahusikaje na huyo upuuzi uliofanyika?! Unadhani wasimamizi wa huo ujenzi hawajui choo kinatakiwa kijengwe vipi? Ukienda kwenye majumba yao utakuta wamejenga vizuri kabisa, mafundi wazuri wanawafahamu, hapo kilichofanyika ni kulipua kazi ili wagawane fedha.
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Na nyumba zao wanazojenga hao walimu, maafisa elimu na wakurugenzi zinasimamiwa na nani?Fundi Juma amenijengea nyumba yenye choo cha shimo, hiyo ya vyoo vingi ingemsumbua. Force account inasimamiwa mara nyingi na walimu ambao hawana uzoefu wa ujenzi. Kuna sehemu Tanzania hawajawahi kuona septic tank.
Amandla...